Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,213
- 29,382
Na hivi nipo lindo,nitakuwa mlinzi wa huu uzi leo. Ole wako usipoweka!!Hahaa nitaweka soon, usilale
Daah wewe ni kituko sana, mmeshindwa hata kutuzugaππYes,
Mimi hapa.
Ndio kipimo gani hichoπMe niko medium size. Sio mnene wala sio mwembamba
Njema sananipo Mkuu
habari ?
Picha iko wapi?Daah wewe ni kituko sana, mmeshindwa hata kutuzugaππ
Ahaa picha ya cobra?Picha iko wapi?
Unaleta masikhara mzee baba. Week tupicha twako Ukiwa unalima kahawa hapo Sanya juu.Ahaa picha ya cobra?View attachment 2628086
Niko Mbozi kijanaUnaleta masikhara mzee baba. Week tupicha twako Ukiwa unalima kahawa hapo Sanya juu.
Nzuri dearVipi habari ya huko ??
nipo okay dear .Nzuri dear
Uko poa?
Have a blessed nightnipo okay dear .
Sera zetu π Panga mkononiMzee wa 'I mean no malice to nobody'
I mean no malice to nobody, Sera zetu π Panga mkononiHivi hii sentensi yako hii unayoipenda maana yake nini??? Unajua mie kingereza nilifeliiigii etiβΊοΈ!
Hiyo Ni fire, au Adam family ile yaa vampire ππkitu ni kilekile.... fairytales
ππ itaumiza menoπ€€π€€π€€π€€
Chumvi iongezeke kidogo!!π
Sijala ππ