Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,333
Umri wetu Wazee ππββοΈπββοΈπββοΈUmri upi huo....!!??π€π€π€
Si wanasema ng'ombe azeeki maini au ??
Umri wetu Wazee ππββοΈπββοΈπββοΈUmri upi huo....!!??π€π€π€
Si wanasema ng'ombe azeeki maini au ??
HahahahaMara ya kwanza nilitaka kukimbia majibu pale Hubert Kairuki, ilikuwa ujauzito wa first born wangu.
Maisha ya Ujana na ukiwahi kushika hela inakuwa mtihani sana.
Anyways, Mungu ni mwema π
Mwaka na miezi 3Amefika umri gani Saivi???
HongeraMwaka na miezi 3
Asante KipenziHongera
Hamna kitu ka hicho..??Umri wetu Wazee ππββοΈπββοΈπββοΈ
π πHahahaha
Kuwa na imani kwa Wazee ππββοΈπββοΈHamna kitu ka hicho..??
Lol bado bado kidogo kama hakuna sababu ya msingi usimuachishe mapema mi jr aliacha akiwa na mwaka na miezi 5 nilienda marking NECTA 3 weeks! Kurudi haaaa kwanza mwanzo alinikataaa kama hanijuii na kunyonya keshasahauuu!Mwaka na miezi 3
πππ
Njoo unichukue, nishasign outπ€Chap chap zimebaki dk 15 tu[emoji28]
Fanya hivyo shogaa, ili jim ikamilike πNipo njiani naelekea Babati kukufatia raba ππ
Kama Grahams mzee mi nipo pale ......π€π€π€π€π€π€Kuwa na imani kwa Wazee ππββοΈπββοΈ
Hahaha.............tumekula chumvi nyingi πββοΈπββοΈπββKama Grahams mzee mi nipo pale ......π€π€π€π€π€π€
Jirani , upo vyediAnd yes i can bake [emoji41][emoji41]View attachment 2627767
Sasa hivi ukisema umekula chumvi nyingi.... πππUnaelewaHahaha.............tumekula chumvi nyingi πββοΈπββοΈπββ
Hicho ni kisusio π