Selfika na JF: Snap it. Show it

Kitambi kiko wapi ina maana siku ile nilisema mimi nina kitambi cha kufutia simu nawe ukasema unacho kumbe ni uwongo😬😁😁
Wapi Nuzu huyo alienipiga alikua pembeni tu labda nina kitrambiii kama choteee... hapa naendelea na zoezi la maji ya moto na kupunguza wanga nione πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚!
 
Hahahahahahaaa
 
Wapi Nuzu huyo alienipiga alikua pembeni tu labda nina kitrambiii kama choteee... hapa naendelea na zoezi la maji ya moto na kupunguza wanga nione πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚!
Hauna bana kitambi hakiwezi jificha kipenzi,kwanza watu wenye shepu kama yako huwa hamna kitambi sisi wenye unene juu ndio kitambi kinadili na sisiπŸ™‡πŸΌβ€β™€οΈπŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Hahaha......................ukiweza kuji control kiasi chako utakuwa umefanikiwa sana. Wengi wanashindwa πŸ™Œ
binafsi toka nilipo otewa clinic nilipo enda na bibie, na sikuwahi kuuza mechi aisee na nimekuwa muoga hata kama nataka.. raha ya dk 1 .. inichomeshe mkeka hapana kwakwelii πŸ˜…πŸ˜…
 
Uwii hamna mnyama namuogopa kama huyo
Kwanza kusikia tu jina lake mwili unasisimka
 
Sio mbaya ukikutana naye hakikisha unammaliza zote, ili akienda tena huko Sudan asiwaone wengine zaidi yako πŸ€—
Wanaume mlivo na nyeg mshindo nyie thubutuuuu....! ! Hata utoke kutia mtu sahiohio ukitoka nje ukaona sket mpya inasimama tena that's your nature!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜!
 
Hauna bana kitambi hakiwezi jificha kipenzi,kwanza watu wenye shepu kama yako huwa hamna kitambi sisi wenye unene juu ndio kitambi kinadili na sisiπŸ™‡πŸΌβ€β™€οΈπŸ˜πŸ˜πŸ˜
Wee mie tatizo najaa mbele ( tumbo)na nyumaaaa ! Basi zoezi la majimoto diet litakua linaendelea vizuri naona tumatokeo kumbeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…