Wee babu mbona huwa unatupia vipimo sana humuu kwanii hongera sana upo vizureeeππππ€£π€£π€£!!Sisi Wazee hatuna hofu sana kama nyie Vijana π€
Asante Mjukuu, ninyi vijana pia mjifunze kwa sisi Wazee πHongera mkuu kwa kujali Afya yako
Wee umezidi yaan π€π€π€Sisi Wazee hatuna hofu sana kama nyie Vijana π€
πππ jina lake la ubatizo ilo. Lakini analikataa balaa
tengeru pa hovyo sana π
Alafu nataka nikupe kitengo aiseee nikiji selfie nakupostia halafu wewe unazipost hapa πππSelfika kwanza ndio nitakuita
Walakum msalamAsalaam aleykum ?
namaanisha soko sio eneo lenyeweπWapi pazuri tuhamie ππ
Asante Mjukuu, wanasema afya njema ni mtaji wa kwanza kabla hujapata mabilioni.Hongera sana kukumbuka kucheki afya babuu mie hata sikumbuki mara ya mwisho nilipima lini lol!!
Kucheki afya ni muhimu sana!!βοΈβοΈ
Wameru ni wakali jamaniπWale wameru bonyeza parachichi uone kama hajakutimua wewe na tuhela twako
Jumaa Mubarak πWalakum msalam
Mbishi sana tatizo lake ππππ jina lake la ubatizo ilo. Lakini analikataa balaa
Njoo tenaAlafu nataka nikupe kitengo aiseee nikiji selfie nakupostia halafu wewe unazipost hapa πππ
Ni msukuma ujue π€£Mbishi sana tatizo lake π
Anataka ashawishi kina sie et.. khaaaWee babu mbona huwa unatupia vipimo sana humuu kwanii hongera sana upo vizureeeππππ€£π€£π€£!!
Safi hiooo π€£π€£π€£!
Nawe pia mpendwaJumaa Mubarak π
Eendiwoooooooo babuuu asante kwa kutukumbushaa!!Asante Mjukuu, wanasema afya njema ni mtaji wa kwanza kabla hujapata mabilioni.
Muhimu kujitunza π€