mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,805
hapo bado tena na saa10😂
hapo bado tena na saa10😂
Hadi nimesikia njaa ghafla[emoji39]
Saa 10 labda a cup of tea/ coffee.hapo bado tena na saa10😂
Karibu shemeji
songa ugali mwanaume [emoji23]
na vibiskuti kidogo😂Saa 10 labda a cup of tea/ coffee.
shemeji yupo wa kukupikia??😅Ahaa kupika sio mchezo kijana![emoji28]
shemeji yupo wa kukupikia??[emoji28]
Aweze kuhandle pombe sio analewa anaanza kufanya vituko .kiukweli wanaboa sana mkuu wanapenda savanah na dompo aisee😂 I love girls who can get wasted....
au uskute wewe ndo unamuiba lenieHili swali limekaa kimtego sana ![emoji28]
Karibu ugali acha kula chipsnakuona boss....
ndio maana sishobokei wadada wanaopenda singeli, wakilewa hawafai 😅Aweze kuhandle pombe sio analewa anaanza kufanya vituko .
Wapo wanambembeleza mjomba kagoma kulipa ada
au uskute wewe ndo unamuiba lenie
nina mwaka sasa sijala chips... nakula tu chips dume😂Karibu ugali acha kula chips
Wapo wanambembeleza muomba kagoma kulipa ada
haina makombo babu😂 may the best man win😂Namuiba au naibiwa?[emoji28]
haina makombo babu[emoji23] may the best man win[emoji23]
mshamba_hachekwi tunaibanaNamuiba au naibiwa?[emoji28]
Mtoto wa shule huyoKimbe we ndio mwizi wangu[emoji28]