Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,881
Wengine hatunywi vanna.kiukweli wanaboa sana mkuu wanapenda savanah na dompo aisee😂 I love girls who can get wasted....
Mtungi mmoja tu unatosha🤣🤣
Wengine hatunywi vanna.kiukweli wanaboa sana mkuu wanapenda savanah na dompo aisee😂 I love girls who can get wasted....
kwahiyo we safari moja tu chali 😂Wengine hatunywi vanna.
Mtungi mmoja tu unatosha🤣🤣
Lenie kwanini usinifanyie hivi 😂View attachment 2627549
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sinywi ma biakwahiyo we safari moja tu chali 😂
huoni kama unajirahisisha kwahiyo nikiazima gari ya mama nkasema yangu....
haujapona.... watu wasiopenda bia wanapenda kula😂Sinywi ma bia
Ushasema ya kuazimahuoni kama unajirahisisha kwahiyo nikiazima gari ya mama nkasema yangu....
haujapona.... watu wasiopenda bia wanapenda kula😂
na zile chipsi kuku umepost jana😂 na mayonnaise ina calories kinoma😂Ni maandazi tu ndio tunapenda kula
Ni maandazi tu ndio tunapenda kula
hebu vuta picha😂Chizi wewe😂
😂😂 ndio maana nikaiweka ndogo.na zile chipsi kuku umepost jana😂 na mayonnaise ina calories kinoma😂
Ndio shemeji.Naona unampa moyo kijana!
Ndio shemeji.
Asije akaona wa siku hizi hawashkiki, kumbe na mahindi tunakula [emoji23][emoji23]
songa ugali mwanaume 😂Hadi nimesikia njaa ghafla[emoji39]