Huu uzi unapoteza maana,kwahiyo ss tusiokuwa na bando mnatuonea si ndio hivyo au?,kila nikiingia online nakuta raia wamesifia pic kuiangalia siioni,ma moderator Invisible hebu liangalie hili suala kama vp option ya delete muiondoe
Tuwaombe tu watuonee huruma hata sisi ni binadamu tuna macho na moyo vilevile.. Kama mtu amesha hide face yake why afute si aache tu tule hata hizo shape kwa macho...