Stress ngumu ila ukichukuwa upweke nao zinazaliwa stress Kwa kifupi bila bilaππKaa hapo katikati
Beba vyote ππππ
Hailet pressure wala mawazoVigezo vipi ??
Ngoma ipo hivi ukiwa single , hkuna mawazo sijui nimkubalie huyu .Endele kusubiri Mungu Huwa pamoja na wenye subra mapenzi stress tupu πππ
Ewaa muhimu sana hiyoHailet pressure wala mawazo
Bora kupambana na vyoteStress ngumu ila ukichukuwa upweke nao zinazaliwa stress Kwa kifupi bila bilaππ
katangaze nia kule MMU πNakaza shingo tu kama hivi ππ
Nasubiri anifate nimekaa hapa chini ya mti πππ
Afunge mkanda kwelikweli siku moja anaongea njiani pekeyake siku mojamoja atalewa,siku zingine ataenda kusalimia nyumbani anakaa mwezi ππakishtuka miaka ishaenda ametimiza agizo la MunguPamoja na yote lazma kutakua na mmoja
Atakaye vumiliwa na hzo stiresπ
OkayC n keyboard imenifanyia vitukoπ
Kabisa na upweke na stress baba mmoja mama mbalimbaliππBora kupambana na vyote
Sema upweke n tatzo Zaid ukizidishaππ
Yaani Kuna watu vishetani fulani hivi Sijui wakoje Ukiwa single wanakuona kama Bata tu Kosa upate Mpenz wanaanza usumbufuπππNgoma ipo hivi ukiwa single , hkuna mawazo sijui nimkubalie huyu .
wanaume wote hawakuoni ile umepata tu baby unajikuta upo kwenye dilemma kaja tena mwingine , wote unawataka ππ
Haa haa sahihi kabisaKabisa na upweke na stress baba mmoja mama mbalimbaliππ
Hapaana aiseekatangaze nia kule MMU π
ππππUtakuja kufa bro kilamtu unaona mzuri Zaid ya mwingineπππKuna wakat nlikaa single!
Ila kila mwanamke nlimuona mzuri had wamamaππ upweke hapanaππππ
Na nyie mnatupangaje?
mbona unajing'ataπ si umesema unataka mubaba??Hapaana aisee
Humu siwawezi
Kwanza naupenda usingle , hupati mawazo πππ
Acha kabisa ππππππ kila alie mbele yako unamuona mzur yaan unaeza gongwa barabaran Kwa kugeuka kuangalia mliepishanaππππππUtakuja kufa bro kilamtu unaona mzuri Zaid ya mwingineπππ
....lips kwa mbaaaliNakaza shingo tu kama hivi ππ
Nasubiri anifate nimekaa hapa chini ya mti πππ
Ah wanakera aiseeeYaani Kuna watu vishetani fulani hivi Sijui wakoje Ukiwa single wanakuona kama Bata tu Kosa upate Mpenz wanaanza usumbufuπππ
HahahahaYaani Kuna watu vishetani fulani hivi Sijui wakoje Ukiwa single wanakuona kama Bata tu Kosa upate Mpenz wanaanza usumbufuπππ