Uchague upweke au stiresππIla maisha hayo fairππ
I agree with you hasa hapo kwenye 1.Upotevu wa muda na pesaFocus on your goals and motives
πTafuta au tengeneza sababu ya wewe kuishi maisha Safi.
πNgono huleta nuksi na mikosi
π Upotevu wa muda na pesa
π Jitafakari Kama unataka kuwa mama Bora au kifaa Cha Ngono kwa watuπ€
Kwa Mungu hakuna fumbondoa ni fumbo gumu sana aisee π
Bora stressUchague upweke au stires
Unafunga macho unabeba kimojaπππ
Almost thereKwan dear now Una 30s??
πππMbona hakuna chenye afadhaliUchague upweke au stires
Unafunga macho unabeba kimojaπππ
Unaishije Sasa mjini hapo na bby huna πππau na Wew unafungua mlango na kugonga mwenyewππAlmost there
Ningechanganyikiwa na hata baby sina ππ
Nakaza shingo tu kama hivi ππUnaishije Sasa mjini hapa na bby huna πππ
Beba vyote πππππππMbona hakuna chenye afadhali
DJ mlete na ule wimbo WA diamond nataka kulewaππBora stress
Kwani si unapooza πππππ
Shingo nzuriπNakaza shingo tu kama hivi ππ
Nasubiri anifate nimekaa hapa chini ya mti πππ
Sio kulewa ???DJ mlete na ule wimbo WA diamond nataka kuolewaππ
Hii shingo naona imekidhi vigezo vyoteNakaza shingo tu kama hivi ππ
Nasubiri anifate nimekaa hapa chini ya mti πππ
Endele kusubiri Mungu Huwa pamoja na wenye subra mapenzi stress tupu πππNakaza shingo tu kama hivi ππ
Nasubiri anifate nimekaa hapa chini ya mti πππ
πππShingo nzuriπ
C n keyboard imenifanyia vitukoπSio kulewa ???
Vigezo vipi ??Hii shingo naona imekidhi vigezo vyote
Pamoja na yote lazma kutakua na mmojaEndele kusubiri Mungu Huwa pamoja na wenye subra mapenzi stress tupu πππ