Selfika na JF: Snap it. Show it

Siku moja mkaka kanisani kasema hivi yeye haoi maana huduma zote anapewa kbla ya ndoa , ndo maana haoni haja kuvuta jiko .

Mnajisevia mnavyotaka ndo manaa hamwazi hata πŸ˜‚
Madam mi silo hivyo, kwanini nimchezee mtoto was mtu Kama Sina mipango naye??
πŸ‘‰Bora niwe single tu, nipambanie kampuni zanguu
 
Siku moja mkaka kanisani kasema hivi yeye haoi maana huduma zote anapewa kbla ya ndoa , ndo maana haoni haja kuvuta jiko .

Mnajisevia mnavyotaka ndo manaa hamwazi hata πŸ˜‚
Huyu n mm kabisa
Ndoa n stress skuhz
Acha nizalishe na nilee tu
 
kwa jinsi unavoiona hii dunia, uko tayari kumleta mtu humu?? humuonei huruma??
Yes I'm ready , since as woman God created me for a purpose
Its not by mistake .

Imagine your mama saying that , usingekuwepo dakika hii , watu wengi wanatamani watoto lakini hawajapata bado .

its a blessing
Duniaa isikutishe hakuna jipya hapa , lazima umtegemee Mungu atakuvusha katika vyote ,

Napenda ule mstari kwa Biblia Mathayo 6 :25-34 msijisumbukie mle nini , mtavaa nini , mnywe nini .
 
Ni kuomba tu neema ya Mungu
Hakuna kitu ubaya kama upweke . ukishakuwa mtu mzima , jumba lote upo peke yako , hakuna wa kukujali duh .
Yaaaaan upweke tatzo kubwa tena
Zaid Ila sasa unatafta wakutoana upweke
Badala yake unakuta umeita pressure
Ndo tatzo zaid vijana wengi me/ke
Wote n shida kila mmoja anavutia Ngoma upande wake
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Ingekua tukifka ndan mambo yanaendela kua hiv na Iman kila mmoja angekua
Kwenye ndoa na zingedumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…