Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie natumia tecno ina 4 years saivi inakaribia kuripuka 😂😂😂🤗😁😁!! !
😀😀😀Mm ndo ninehama juzi had kufikia kutumia Samsung nitakuwa nimechoka sana hebu tujitahid tukivunja vikoba tununue😂😂😂
 
Ww auntie unajua ntakutandika fimbo sasa au unanichezea akili tu hapa,

kaone kwanza na mashavu yako, ☺️☺️

Mi mpaka niseme hivyo nishafanya comparison nyingi mashavu na uso wenu vinalandana sana 78%
Mimi unichapee???? 😁😁☺️! Hebuu njoo uone ntavokubutuaa kwanzaaa😊💪💪💪😄😄!
 
Back
Top Bottom