YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
Auntie jomoni kipenzi chako shepu la maana si mnamalizanaga kule whatsapp jomoni 😀😀😀😀😀
Au unajichetua tu hapa 😅😅😅😅
Auntie jomoni kipenzi chako shepu la maana si mnamalizanaga kule whatsapp jomoni 😀😀😀😀😀
Mi mwenyewe wachumba wananikimbia wanasema eti mi mdogo, duuh kwahiyo humu wamama wengi sio 🤔🤔☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️
Hongera auntieee 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🎶🎼Tupooo rafiki zako tunasemaaaa🎶🎼
Haaaappy birthday to youuu🎂🍸🥳
Happy birthday to you🥳🥳🥳🎉🍹 🎼🎶
Poor Brain umemuona dadake Jr ???
Kama yule naniliiu, yule muhuni noma sana 😶😶😶😶Always ni chit chat tu.
Nakufurahi na kuongeza siku za maisha duniani.
Nakazia Kama ulivosema walamba asali hawana maneno mengi jukwaani Kama kina chino.
Na ukiwakuta Wana comment Basi comment zao Ni fupi fupi
Tafuta saizi yakoo ankoli akee naweee!Mi mwenyewe wachumba wananikimbia wanasema eti mi mdogo, duuh kwahiyo humu wamama wengi sio 🤔🤔☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️
Amina amina kubwaaa dear!!Amen hakuna kinachoweza kushinda Jina la Yesu.
Pole sana dear. Aisee ulipitia mitihani haswa na huwezi sahau haya.
Ni kweli, kabisa kongole kwako auntiee akeeTafuta saizi yakoo ankoli akee naweee!
Im proud of being a mother kiukweli hakuna kitu kinaleta raha kama mama kuwaona wanae! The feeling unayofeell hapo dahhh♥️❤️❤️🧑🍼🤱
Asante sis!!Hongera sana ccy bora kuzeeka na mtoto kuliko kuzeeka burebure😍😍🥰🥰
Malizia basiii vitoto Vizuri kama mama yaooo😛🤗!Ni kweli, kabisa kongole kwako auntiee akee
Una vitoto vizuri jomoni ☺️☺️🤗🤗🤗,
Yeah ccyAsante sis!!
Kabisa dear watoto ni baraka!
🤔🤔🤔 Mmh sijaelewa auntieee nimalizeje tena 🙂🙂🙂🙂Malizia basiii Vizuri kama mama yaooo😛🤗!
Kwamba vitoto Vizuri kama mama yaooo 😛🤗!🤔🤔🤔 Mmh sijaelewa auntieee nimalizeje tena 🙂🙂🙂🙂
Sasa watoto wanalilia wembe afanyaje hahaha!Kama yule naniliiu, yule muhuni noma sana 😶😶😶😶
😂😂😂🤣🤣🤣🤣!Auntie jomoni kipenzi chako shepu la maana si mnamalizanaga kule whatsapp jomoni 😀😀😀😀😀
Au unajichetua tu hapa 😅😅😅😅
Aaaah kipenzi, imebidi nikaangalie picha zako nilizo save kule gallery hakika we mzuri, tena hayo mashavu sasa duuh mjeda anakojoa pazuri 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Kwamba vitoto Vizuri kama mama yaooo 😛🤗!
Kwani uongo jomoni, 😅😝😝😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🤣!
Weee auntie Nani alikwambia tunamalizana WhatsApp??? Mfyuu😊🤗
Mashavu kama mashavu ptuuuu !!Aaaah kipenzi, imebidi nikaangalie picha zako nilizo save kule gallery hakika we mzuri, tena hayo mashavu sasa duuh mjeda anakojoa pazuri 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
😆🤗🤗🤗🤗🤗😘 Ungekuwaga mdogo ningetupa nyavu sema sasa 😒😒😒😒ndo ishapita hiyo