myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
SafiiiiJana nilipata bahati ya kutembelewa na mwanajf mpaka home.....
Ulikuwa mda mzuri na tulipata time ya kushare mambo kadhaa ya namna ya kuukimbia huu umaskini angalau before 35 tuwe na ghorofa kadhaa[emoji3][emoji3](joking)View attachment 2622799