Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Uzuri kazi zenu nyingi zinafanyika remotely.

Ila wakati unaanza (iwe kazi kabisa au internship) jiandae kwenda ofisini maana hapa kwetu tunaamini sana katika kwenda ofisini, hata pale ambapo sio lazima. Yani boss asipokuona basi ni kama vile hufanyi kazi hata kama una-deliver. Nilishawahi kuacha kazi inipite kwa kigezo cha kutakiwa ofisini Monday - Saturday bila exception wakati kazi yenyewe ningefanya vizuri tu bila kwenda ofisini kila siku.

Anyway, baadae ukishaji-establish na kutengeneza CV ndio unaweza kutia mbwembwe kwakuwaambia waajiri kwamba one of your requirements ni kufanya kazi remotely.
Huyu ushauri sio Kwa mshamba_hachekwi 😜 ndio Kwanza yuko 1 year anawaza ajira hata sup hajakutana nazo😂
 
Back
Top Bottom