Njoo na hizo nyama tule ugali! π€€πKisamvuuuu π₯°
mwanachuo nikila hivo nshalipua bajeti ya siku 2 πNdio totoo π
Pole mkuu[emoji25][emoji24]View attachment 2622696
[emoji25][emoji24]View attachment 2622696
una work from home??
Pamoja mzee..Mzee ngoja nimalize msiba ntakutafuta baba..
Kwasasa nimerudi DSM hivyo Panapo majaliwa tutachekiana....
na hii nitapita nayo au nikuachie ππ
Mkianza ujezi mtuambie sasa mapemaJana nilipata bahati ya kutembelewa na mwanajf mpaka home.....
Ulikuwa mda mzuri na tulipata time ya kushare mambo kadhaa ya namna ya kuukimbia huu umaskini angalau before 35 tuwe na ghorofa kadhaa[emoji3][emoji3](joking)View attachment 2622799
Yupp!!!una work from home??
π€£π€£π€£π€£π€£na hii nitapita nayo au nikuachie ππ
raha sana....πYupp!!!
Ujenzi gani Mkuu....., nilijaribu room kadhaa karibu nife na madeni na kulalia Box maana kila kitu niliuza[emoji28][emoji28][emoji28]Mkianza ujezi mtuambie sasa mapema
Sana π€raha sana....π
mbona kama unaninafkia?? πnaenda kufanyia huko barabarani.