Selfika na JF: Snap it. Show it

Namuona Mjep kwa mbali😂
Bro,kuna siku nakumbuka nilikuwa nimefulia, ghafla muamala ukasoma🤣, mdogo wangu chukua ya soda🙌
Nilipiga goti kumshukuru Mungu 😂

Na line yangu sikuwa nayo, niliacha Sehemu.,,niliisaka ile line japo nilikuwa naumwa.

Mungu akubariki mno aisee.
 
Mjep ubarikiwe sana kaka
Mungu akubariki maradufu
Vocha unazoweka hapa aisee unatusave mno .
 
🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…