5 511 JF-Expert Member Joined May 8, 2023 Posts 4,232 Reaction score 7,848 May 13, 2023 #328,881 Saint Anne said: Very true. Na kama ananusa hivi, Anajua tu kuwa huyu mtoto atakuwa ameishiwa.. Na kweli unakuta uliishiwa.. Unawaza na kuwazua itakuwaje, ghafla muama huooo unasoma 😋 Mungu awabariki sana wanaume kama hawa. Click to expand... Kama mtu yuko moyoni, utaongozwa na hisia
Saint Anne said: Very true. Na kama ananusa hivi, Anajua tu kuwa huyu mtoto atakuwa ameishiwa.. Na kweli unakuta uliishiwa.. Unawaza na kuwazua itakuwaje, ghafla muama huooo unasoma 😋 Mungu awabariki sana wanaume kama hawa. Click to expand... Kama mtu yuko moyoni, utaongozwa na hisia
5 511 JF-Expert Member Joined May 8, 2023 Posts 4,232 Reaction score 7,848 May 13, 2023 #328,882 Saint Anne said: Kuomba kipaji Mungu naye anaangalia,,anakuonea huruma,anakupa mwanaume anayejiongeza. Click to expand... Sure. Wakati mwingine tunapima mwanamke wa kuoa kutokana na uvumilivu wake upande wa pesa
Saint Anne said: Kuomba kipaji Mungu naye anaangalia,,anakuonea huruma,anakupa mwanaume anayejiongeza. Click to expand... Sure. Wakati mwingine tunapima mwanamke wa kuoa kutokana na uvumilivu wake upande wa pesa
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 May 13, 2023 #328,883 Saint Anne said: Kuomba kipaji Mungu naye anaangalia,,anakuonea huruma,anakupa mwanaume anayejiongeza. Click to expand... Mungu awabariki wanajiongeza 😂😂😂
Saint Anne said: Kuomba kipaji Mungu naye anaangalia,,anakuonea huruma,anakupa mwanaume anayejiongeza. Click to expand... Mungu awabariki wanajiongeza 😂😂😂
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 May 13, 2023 #328,884 Peterrabbit said: Kama mtu yuko moyoni, utaongozwa na hisia Click to expand... Unafurahi huku unajikanyaga unasema "ninayo usingenipa" Kumbe uongo mtupu Mwanaume wa hivi,unaachaje kufunga na kumuombea kwa Mungu?!
Peterrabbit said: Kama mtu yuko moyoni, utaongozwa na hisia Click to expand... Unafurahi huku unajikanyaga unasema "ninayo usingenipa" Kumbe uongo mtupu Mwanaume wa hivi,unaachaje kufunga na kumuombea kwa Mungu?!
5 511 JF-Expert Member Joined May 8, 2023 Posts 4,232 Reaction score 7,848 May 13, 2023 #328,885 Tinsley said: Hehhe unakataaje jamani Ukisema tu chaa na hujamaliza , sms ya pesa hiyo , nenda ukale sehemu nzuri Leo . Click to expand... Kabisa. Mimi napenda bby awe na furaha muda wote so nalazimika kum care kwa kila kitu Ila awe na self control tu.
Tinsley said: Hehhe unakataaje jamani Ukisema tu chaa na hujamaliza , sms ya pesa hiyo , nenda ukale sehemu nzuri Leo . Click to expand... Kabisa. Mimi napenda bby awe na furaha muda wote so nalazimika kum care kwa kila kitu Ila awe na self control tu.
5 511 JF-Expert Member Joined May 8, 2023 Posts 4,232 Reaction score 7,848 May 13, 2023 #328,886 Tinsley said: Mungu awabariki wanajiongeza 😂😂😂 Click to expand... Tupo, tunacheza na hisia tu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 May 13, 2023 #328,887 Tinsley said: Hehhe unakataaje jamani Ukisema tu chaa na hujamaliza , sms ya pesa hiyo , nenda ukale sehemu nzuri Leo . Click to expand... Kwa kweli siwezi omba hela ila nikipewa sikatai aisee😂😂😂😂 Hapohapo natenga na sadaka.
Tinsley said: Hehhe unakataaje jamani Ukisema tu chaa na hujamaliza , sms ya pesa hiyo , nenda ukale sehemu nzuri Leo . Click to expand... Kwa kweli siwezi omba hela ila nikipewa sikatai aisee😂😂😂😂 Hapohapo natenga na sadaka.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 May 13, 2023 #328,888 Tinsley said: Mungu awabariki wanajiongeza 😂😂😂 Click to expand... Mno aisee Vinginevyo wasiojua kuomba wangepauka hapa mjini😂
Tinsley said: Mungu awabariki wanajiongeza 😂😂😂 Click to expand... Mno aisee Vinginevyo wasiojua kuomba wangepauka hapa mjini😂
5 511 JF-Expert Member Joined May 8, 2023 Posts 4,232 Reaction score 7,848 May 13, 2023 #328,889 Saint Anne said: Unafurahi huku unajikanyaga unasema "ninayo usingenipa" Kumbe uongo mtupu Mwanaume wa hivi,unaachaje kufunga na kumuombea kwa Mungu?! Click to expand... Hakika, ukimpata huyo jitahidi sana kumjali
Saint Anne said: Unafurahi huku unajikanyaga unasema "ninayo usingenipa" Kumbe uongo mtupu Mwanaume wa hivi,unaachaje kufunga na kumuombea kwa Mungu?! Click to expand... Hakika, ukimpata huyo jitahidi sana kumjali
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 May 13, 2023 #328,890 Peterrabbit said: Tupo, unacheza na hisia tu Click to expand... Wewe ni role model wao
5 511 JF-Expert Member Joined May 8, 2023 Posts 4,232 Reaction score 7,848 May 13, 2023 #328,891 Saint Anne said: Kwa kweli siwezi omba hela ila nikipewa sikatai aisee😂😂😂😂 Hapohapo natenga na sadaka. Click to expand... Na ukikataa Najua unanihurumia kwa vile kuna kibosile anakupa.
Saint Anne said: Kwa kweli siwezi omba hela ila nikipewa sikatai aisee😂😂😂😂 Hapohapo natenga na sadaka. Click to expand... Na ukikataa Najua unanihurumia kwa vile kuna kibosile anakupa.
5 511 JF-Expert Member Joined May 8, 2023 Posts 4,232 Reaction score 7,848 May 13, 2023 #328,892 Tinsley said: Wewe ni role model wao Click to expand... Kama ninacho tuna enjoy, kama sina hata wewe utajua kweli sina maana siwezagi ubahiri.
Tinsley said: Wewe ni role model wao Click to expand... Kama ninacho tuna enjoy, kama sina hata wewe utajua kweli sina maana siwezagi ubahiri.
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 May 13, 2023 #328,893 Msrlfike kwanza
Gunther Schwagermann JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 7,354 Reaction score 17,684 May 13, 2023 #328,894 Saint Anne said: Shkamoo Naomba juice Click to expand... Bodaboda wangu anakuletea.
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 May 13, 2023 #328,895 Saint Anne said: Mno aisee Vinginevyo wasiojua kuomba wangepauka hapa mjini😂 Click to expand... Wanapendeza warembo Mjini full kungara
Saint Anne said: Mno aisee Vinginevyo wasiojua kuomba wangepauka hapa mjini😂 Click to expand... Wanapendeza warembo Mjini full kungara
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 May 13, 2023 #328,896 Peterrabbit said: Na ukikataa Najua ha maana Najua unanihurumia kwa vile kuna kibosile anakupa. Click to expand... Tunakataa kuzuga tu😂 Baadaye shukrani zinamiminika na maombi juu
Peterrabbit said: Na ukikataa Najua ha maana Najua unanihurumia kwa vile kuna kibosile anakupa. Click to expand... Tunakataa kuzuga tu😂 Baadaye shukrani zinamiminika na maombi juu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 May 13, 2023 #328,897 Tinsley said: Wanapendeza warembo Mjini full kungara Click to expand... Yaani Mambo ni bambam
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 May 13, 2023 #328,898 Peterrabbit said: Hakika, ukimpata huyo jitahidi sana kumjali Click to expand... Kabisa Ila wanawake wengine walivyo vichwa panzi Akipendwa hivyo anabweteka na kuanza kutafuta challenge mpya. Unajiuliza huyu dada Mungu ampe nini tena?
Peterrabbit said: Hakika, ukimpata huyo jitahidi sana kumjali Click to expand... Kabisa Ila wanawake wengine walivyo vichwa panzi Akipendwa hivyo anabweteka na kuanza kutafuta challenge mpya. Unajiuliza huyu dada Mungu ampe nini tena?
5 511 JF-Expert Member Joined May 8, 2023 Posts 4,232 Reaction score 7,848 May 13, 2023 #328,899 Saint Anne said: Tunakataa kuzuga tu😂 Baadaye shukrani zinamiminika na maombi juu Click to expand... Bora iwe hivyo maana kuomba omba nayo sio Poa. Bora utege mtego wako usubiri ajilete😂
Saint Anne said: Tunakataa kuzuga tu😂 Baadaye shukrani zinamiminika na maombi juu Click to expand... Bora iwe hivyo maana kuomba omba nayo sio Poa. Bora utege mtego wako usubiri ajilete😂
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 May 13, 2023 #328,900 Peterrabbit said: Kama ninacho tuna enjoy, kama sina hata wewe utajua kweli sina maana siwezagi ubahiri. Click to expand... Keep it up WiFi azidi kukupenda
Peterrabbit said: Kama ninacho tuna enjoy, kama sina hata wewe utajua kweli sina maana siwezagi ubahiri. Click to expand... Keep it up WiFi azidi kukupenda