Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,864
Hajiamini mpaka atupie tot kadhaaDogo anafeli sana!😅
Sasa ndio nini hicho
Hajiamini mpaka atupie tot kadhaaDogo anafeli sana!😅
Mimi na Tinsley inyeshe mvua liwake jua hatuwezi achana. Ni Romeo and Juliet.[mention]Poker [/mention] amerudi[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] baada ya kuachwa pole mdogo wangu [mention]Poker [/mention] karibu kwenye chama cha CHAPUTA
Mwambie baby wako akumbeleze 😂Usikate tamaa, last born tu napenda kubebelezwa🤣
Vp hali yako kipenzi changu Tinsley nimekumiss mpaka naumwa!
Mimi na Tinsley inyeshe mvua liwake jua hatuwezi achana. Ni Romeo and Juliet.
Daah watoto wadogo ni shida!Hajiamini mpaka atupie tot kadhaa
Sasa ndio nini hicho
Nilimwambia nitafikia kwake so nitalala kwakeUmemfanya nn shemdarling Depal wangu?
I am good🙂 hebu selfika nimuonyeshe mama picha akikukubali basi nakupeleka Rombo hukoNzuri za kwako ??
Nikuimbie nyimbo gani ili moyo wako uridhike ewe barafu ya moyo wangu unaopooza mapigo yangu? 😍Niimbie basi
Dogo hapo ndio ulipofeli sasa, unafikiaje kwa mwanamke?🙆♂️Nilimwambia nitafikia kwake so nitalala kwake
Baada ya Poker kuja ndio unaniambia hivi😂😂 sawa dada ngoja nimpe nafasi bro.Mwambie baby wako akumbeleze 😂
Hatari kabisa..
Punguza ukubwa wa hiyo saa kidogo 🤓🙌
Tulia acha umbea😂😂😂Punguza ukubwa wa hiyo saa kidogo 🤓🙌
😀😀Hatari kabisa..
umeendana na jina lako!😊
Hehehe you're funnyI am good🙂 hebu selfika nimuonyeshe mama picha akikukubali basi nakupeleka Rombo huko
Depal hajui hesabu za mama alimkataa😬😬 aliulizwa pipa moja la mbege lenye kilo 100 na gunia moja la ndizi lenye kilo Mia lipi zito akashindwa kujibu🙂