Mie kwenye michezo nilikua better, 4m 1 niliishia ngazi ya kanda, 4m 3 nkatoboa hadi Taifa, 4m 2 na 4 mie sikuwa nashiriki nilikuaga buzzy na masomo,Hongera kipenz ulikuwa hatari sana mm sekondari nilikuwa nacheza kujifurahisha[emoji3][emoji3]sikuwah kwenda popote ila chuo nimecheza michezo karibuyote netball,volleyball,handball na nilikuwa Niko vizuri
Nenda taifa, pale indoor stadium uanze kufanya mazoezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] volleyball na basketball ni tamuu mnoo, aaaah.
Tatizo mfumo, nilitamani niwe mchezaji mkubwa,
Mmmmh 30+ mbona kulikuwa hamna camera nzuri aseeeHapana Mkuu, hiyo ni picha ya miaka almost 30 iliyopita.
Kwasasa nipo kwenye umri wa Wazee wa Baraza π
Wee mchumbaa na huu uzee nikafanye nn huko?Nenda taifa, pale indoor stadium uanze kufanya mazoezi
Shule haijawah nitenganisha na michezo,, hiyo fom 4 natoroka shule naenda gym ya, magereza kwenye sparringMie kwenye michezo nilikua better, 4m 1 niliishia ngazi ya kanda, 4m 3 nkatoboa hadi Taifa, 4m 2 na 4 mie sikuwa nashiriki nilikuaga buzzy na masomo,
Advance mambo yalikua magumu, hata shule penyewe uwanjan nilikua naenda mara chache mnoo.
Chuo ndo kabisaa sina mda hata wa kusogea huko uwanjani mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kafanye mazoezi weweWee mchumbaa na huu uzee nikafanye nn huko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna app natumia kuzi upgrade picha zangu za mwaka 47 kuzibadili muonekano π πββοΈπββοΈπββοΈMmmmh 30+ mbona kulikuwa hamna camera nzuri aseee
We ni ki uncle tu wa 40 hapo huna uzee wowote ule bana hata mshana kakuzidi umri
Daaah π π π haya mkuuu acha nikae kimyaKuna app natumia kuzi upgrade picha zangu za mwaka 47 kuzibadili muonekano π πββοΈπββοΈπββοΈ
Ila umri umesogea kwa kiasi, ngoja nitupie nyingine ya mwaka 53 uone π
Volleyball na basket Hawana mazoezi yakutosha lazima wapigwe chini!!Kwann kipenz hawana mazoezi?
Ugali dagaaa π π πππKwenu mmepika nini tubadilishane?π
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈDaaah π π π haya mkuuu acha nikae kimya
Dogo yankiiieee kabisa ww unajiluta kizeeView attachment 2620211
..........
π Leo kajisahauDogo yankiiieee kabisa ww unajiluta kizee
Shikamoo BabuView attachment 2620211
..........
Na tumemsanda sasa π π π ππ Leo kajisahau