Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,091
- 111,699
Yeye ndio anamuonea Half american jana kamtumia laki ya matumizi kaenda kugawa kwa mashangazi uyo mtoto hatarAnasema tuna muonea
MmmhUna mashavu makubwa lkn š š š š š
sina mjomba humu hizo taarifa sio za kweli zipuuzweNdio mjomba ake Half american analalamika sana hela zake zinapotea bila sababu mtoto asomi anaendeleza mishangazi
Hayo mashangazi anayapatia wapi..?Yeye ndio anamuonea Half american jana kamtumia laki ya matumizi kaenda kugawa kwa mashangazi uyo mtoto hatar
Usigune gune mkuuu š š šMmmh
Unamkanasina mjomba humu hizo taarifa sio za kweli zipuuzwe
unaendekeza sana hawa madogo....sina mjomba humu hizo taarifa sio za kweli zipuuzwe
Una mkataa waka juzi nilieakuta chemba mnapiga soga vzr sana mpaka moyoni nikajisikia amani kumbe uncle ana mkubali mpwa wakesina mjomba humu hizo taarifa sio za kweli zipuuzwe
Sijaguna mkuuš¤š¤š¤Usigune gune mkuuu š š š
Nani dogo sasa ..unaendekeza sana hawa madogo....
Ndio mjomba ake alikuwa anamtafutia kuna kipindi Half american alimwambia atamuunganishia humu humuHayo mashangazi anayapatia wapi..?
Humu humu au..? š¤š¤š¤š¤
š¤š¤š¤š¤š¤ Daaah aiseeee hii kali ya mwakaNdio mjomba ake alikuwa anamtafutia kuna kipindi Half american alimwambia atamuunganishia humu humu
mnatafuta bifu ambalo hamtoliweza.....Nani dogo sasa ..
Shida sana ase uncle yupo simple sanaš¤š¤š¤š¤š¤ Daaah aiseeee hii kali ya mwaka
Natamani nicheke ila ID yako imeni limit mkuu...mnatafuta bifu ambalo hamtoliweza.....
unatafuta ban sio bureNdio mjomba ake alikuwa anamtafutia kuna kipindi Half american alimwambia atamuunganishia humu humu
Embu tulia tutakuchapa wewe Half american ongea na mjomba ako uyo awe na adabumnatafuta bifu ambalo hamtoliweza.....
kawaida iyo na utaifungua wewe mwenyeweeunatafuta ban sio bure