Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,488
- 65,834
Embu acha uswahili basi boss anabakiza pombe weweHii ni expensive liquor sibakizi kabisa!..naendelea mdogo mdogo hadi inaisha😊View attachment 2618991
Embu acha uswahili basi boss anabakiza pombe weweHii ni expensive liquor sibakizi kabisa!..naendelea mdogo mdogo hadi inaisha😊View attachment 2618991
Una 19+4=23Nimekupita miaka minne mdogo wangu
Nimekuja kumuona mpwa wa Half american ameniagiza nimwangalie shuleni anaendeleaje huyu mshamba_hachekwi kama anasoma au anakesha jf tuNikipokea kesho nitakujurisha mkuu
dah, basi it was never meant to be😂 fursa imenipita....Nimekupita miaka minne mdogo wangu
Huyo mtoto wa 19 year 🤓🤓🤓🤓🤓Nimekuja kumuona mpwa wa Half american ameniagiza nimwangalie shuleni anaendeleaje huyu mshamba_hachekwi kama anasoma au anakesha jf tu
Why?Mbona gafula sana...
Sijapenda na nimeumia kiasi chake..![]()
I know you before you ..
kijana mimi nimekukosea nini??😂Nimekuja kumuona mpwa wa Half american ameniagiza nimwangalie shuleni anaendeleaje huyu mshamba_hachekwi kama anasoma au anakesha jf tu
Ndio mjomba ake Half american analalamika sana hela zake zinapotea bila sababu mtoto asomi anaendeleza mishangaziHuyo mtoto wa 19 year 🤓🤓🤓🤓🤓
Muulize uncle wako Half americankijana mimi nimekukosea nini??😂
Hiyo imoj ipunguze ukubwa kidogo 🥺🥱🥱🥱Muwe na ijumaa iliyotukuka
View attachment 2618989
Ntafanya ivyo siku nyingineHiyo imoj ipunguze ukubwa kidogo 🥺🥱🥱🥱
Kweli kweli ndo mana hapendi kuitwa totoo..... 🤓🤓🤓🤓 Jf huku sio poaNdio mjomba ake Half american analalamika sana hela zake zinapotea bila sababu mtoto asomi anaendeleza mishangazi
Lini hiyo...Ntafanya ivyo siku nyingine
mmenipata boya wenu mnanionea 😂Muulize uncle wako Half american
Ahahahhaha ngoja nifike shuleni kwao namkabizi mwalimu wake awe anachaoa mpaka kufaKweli kweli ndo mana hapendi kuitwa totoo..... 🤓🤓🤓🤓 Jf huku sio poa
Sasa si totoo wa selfika kama wanavyosemammenipata boya wenu mnanionea 😂
Ahahahaha unaonewa au wewe ndio una muonea uncle wako jana kapiga simu analia kisa wewe husomimmenipata boya wenu mnanionea 😂
Anasema tuna muoneaAhahahhaha ngoja nifike shuleni kwao namkabizi mwalimu wake awe anachaoa mpaka kufa
Una mashavu makubwa lkn 😅😅😅😅😅Muwe na ijumaa iliyotukuka
View attachment 2618989