Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
Sasa unitunzie au nitumie kwa bus ili kesho nivae nikiwa uku 😂Sawa mkuu... Ndio maana nimekualika maana nilijua tuu kwenye t-shirt hapo ndo mambo yako
Sasa unitunzie au nitumie kwa bus ili kesho nivae nikiwa uku 😂Sawa mkuu... Ndio maana nimekualika maana nilijua tuu kwenye t-shirt hapo ndo mambo yako
Ninae ndiyo [emoji4]Kumbe una bebee humu ....[emoji3064]
😂😂😂 ivi ubakizagi izo pombeeUzoefu wa zaidi ya 20yrs😊
Sawa mkuu... Nakutafutia na kofiaSasa unitunzie au nitumie kwa bus ili kesho nivae nikiwa uku 😂
Kuna kipimo changu nikifikia hapo napumzika!😂😂😂 ivi ubakizagi izo pombee
kwasababu mimi sio mtoto....Unapinga sana kuitwa totoo😂
o hapo ndipo napo kukubali tu hakika vipi viatu hawajotoa?Sawa mkuu... Nakutafutia na kofia
Haya😂kwasababu mimi sio mtoto....
Ahahahaha nilitaka nije nibebe niuze mtaani uku kwa kuwapimia kwenye glassKuna kipimo changu nikifikia hapo napumzika!
Mbona gafula sana...
Nunua kvant uwapimie kijana!Ahahahaha nilitaka nije nibebe niuze mtaani uku kwa kuwapimia kwenye glass
I had a crush on you, ila wakanigombanisha😂🤒😢, na niliona ule uzi wako ukisema kuwa una 19 years basii nikaishiwa nguvu😂😂😂kwasababu mimi sio mtoto....
Ahahahahah nilitaka zako izo unazo bakiza nichanganye kwenye dumu la lita tano niwauzieNunua kvant uwapimie kijana!
Hapana mkuu ni t-shirt na kofia tuu... Tatuma kwa ShabibyDah ase br
o hapo ndipo napo kukubali tu hakika vipi viatu hawajotoa?
we kwani una mingapi😂I had a crush on you, ila wakanigombanisha😂🤒😢, na niliona ule uzi wako ukisema kuwa una 19 years basii nikaishiwa nguvu😂😂😂
Ulipie kabisa uko uko sawa mkuu 😂Hapana mkuu ni t-shirt na kofia tuu... Tatuma kwa Shabiby
Hii imeisha mkuu .. usikhofuUlipie kabisa uko uko sawa mkuu 😂
Nikipokea kesho nitakujurisha mkuuHii imeisha mkuu .. usikhofu
Hii ni expensive liquor sibakizi kabisa!..naendelea mdogo mdogo hadi inaisha😊Ahahahahah nilitaka zako izo unazo bakiza nichanganye kwenye dumu la lita tano niwauzie
Embu acha uswahili basi boss anabakiza pombe weweHii ni expensive liquor sibakizi kabisa!..naendelea mdogo mdogo hadi inaisha😊View attachment 2618991