Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,791
- 58,403
SoonKumbe hupgopi???ππ! Haya tubless kwanzaa π
Unaachaje kuwaza chini na mtu kakulia pesa zako kibao kwani ndugu yako huyoo weeeehπ!!Hapo umenena
Sema hiyo nayo ni ngumu kwa wenzangu na me..
Yaani ukishajuana na she tuu basi unawaza chini .π€π€π€π₯±π₯±π₯±
π€π€π€π€π€π€π€πππ Daaah Aunt ... Ety lazima aliwe uuuh... Na yeye anakua kajiandaa huyoUnaachaje kuwaza chini na mtu kakulia pesa zako kibao kwani ndugu yako huyoo weeeehπ!! Mwanamke
Ukiwa omba omba lazima uliweeee!!
Ukitaka uishi kwa uhuru zaidi bora usijuaneee na mtu tyuuu!!! Kuna Vitu unaweza koments wanaokufahamu wanakuzoom na kujichekea tyyu nhiiiiiiππππ€£ππ!Mi nataka nikae kwa uhuru huku...
Yaani mtandaoni na bado hatujuani nianze kuogp ogopa jamn kweli...
Ndo mana naogopa vitu vidogo ka hivo
No way aunt!! ππππ!π€π€π€π€π€π€π€πππ Daaah Aunt ... Ety lazima aliwe uuuh... Na yeye anakua kajiandaa huyo
Akili ku mkichwa.
Umeonaaaa eeeeh...Ukitaka uishi kwa uhuru zaidi bora usijuaneee na mtu tyuuu!!! Kuna Vitu unaweza koments wanaokufahamu wanakuzoom na kujichekea tyyu nhiiiiiiππππ€£ππ!
Situmii maziwa π΅π₯΄We auntie upo vizuri βΊοΈβΊοΈβΊοΈβΊοΈβΊοΈπππππππππππππ
Sema punguza chai ya rangi au una addiction ya maziwa βπππππππ
Kwakweli mambo yalikuwa mengi na matatizo lkn tumevuka salama!Wifii yangu mrembo nimekumissπ
Ulijua kweli kupotea jamani hope kila kitu kipo sawa
Ndugu yako alinikimbiaπ₯Ί
π€£π€£π€£Wee usiniambieWee tayar washakuanika humu
Angalia uzi wa jf usiku wa manane utaniamini...!!π€£π€£π€£Wee usiniambie
ππUkurasa wa ngapi huko nikajioneeππAngalia uzi wa jf usiku wa manane utaniamini...!!
Weee acha tuu mambo haya...ππUkurasa wa ngapi huko nikajioneeππ
ππWeee acha tuu mambo haya...
Don't trust Jf-experts jamani...
Ushakumbuka eeehππ
Sikumbuki hata kidogo πalafu Sina shida na mtu humu na sitarajii kuwa nayoUshakumbuka eeeh
Utafia barHappy Furahi day!π₯
View attachment 2618938
Nalewa home kijana!πUtafia bar