Nimekaa nikawaza kwanini member wa JF wanaogopa jipost Sura? Je wanadaiwa? Je kuna Mtu ana shida nao? sipatagi majibu kwanini wanachama wa JF ni waoga.
Leo ngoja nimwage mchele,wasionijua wanijue na wanaonitafuta wajue basi ndio mimi wanaemtafuta natumia ID ya
CONTROLA.