Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi ni shabiki kindaki ndaki wa Liverpool
Mwenza wangu cocastic shabiki gwiji wa Manchester City tunacharuana kweli ikicheza Man City na Liver ila akifungwa ananunaaaa hata salamu hatoi[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu sema kwelii mwenzaaa, wee ndo liver yako ikifungwa hunipi huduma na stahiki zangu.
 
Bila samahani mkuu, tumeanza maisha mapyaaa mkuu.. wanasema bwana alitoa na bwana alitwaa. Kwema lakini
Wee ankoli twins wameondokaa?? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jamaniii kwann?? Sipati picha shangazi anajisikiaje??

Dada ang alipoteza kichanga cha mwezi m1, jamani hadi leo ana tatizo la pressure.

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] huzunii jaman.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Poleeee sanaa ankolii.
Wee unajikaza, namuwazia mkeo jaman sijui ataweza vipi kustahimili.
 
Pole sana National Anthem πŸ˜”πŸ˜”
Wapumzike salama malaika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…