National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Mambo mengine unayakubali ili upone, ila kama unawaza sana inauma sana. Mie jumapili nimepoteza wangu wawili, jumatatu nikapoteza mmoja wa kaka yangu ambae wife wake alikuwa kwangu.. ila yote yamepita.. tumeaanza maisha mapyaaa naumia Kwa huruma Kwa mke wangu ndio Ina mtesa zaidiJina la BWANA lihimidiwe.
Kwema kabisa.
Natamani ningeweza kufanya recovery kama yakwako. Tangu August 26 na bado kuna wakati inafeel kama ni juzi tuu. New normal is never easy. Uko strong sana. Pole na hongera kwa kuipokea hali mapema, inasaidia kuvuka maombolezo mapema.
Asante sana mdogo wanguPoleni sana
Pole sana KakaBila samahani mkuu, tumeanza maisha mapyaaa mkuu.. wanasema bwana alitoa na bwana alitwaa. Kwema lakini
Dah[emoji3064]Asante sana mdogo wangu
Asante mdogo wanguPole sana Kaka
So sad ...
Siku hizi umekuwa tajir wewe husomi sonic commentsDah[emoji3064]
Ndio naona leo hapa
Yah sureMambo mengine unayakubali ili upone, ila kama unawaza sana inauma sana. Mie jumapili nimepoteza wangu wawili, jumatatu nikapoteza mmoja wa kaka yangu ambae wife wake alikuwa kwangu.. ila yote yamepita.. tumeaanza maisha mapyaaa naumia Kwa huruma Kwa mke wangu ndio Ina mtesa zaidi
Kila mda pressure inapanda na kushuka, imebidi akake hospital kwanza aisee.Yah sure
Mwanamke anakuwa na hali ngumu zaidi.
Mungu amtie nguvu
Mwee[emoji16]Siku hizi umekuwa tajir wewe husomi sonic comments
Ahahaha! Maisha yamekuwa makali kwakweli.. Kila mahalaMwee[emoji16]
Nashinda zangu kwenye sports kupunguza stress za ukali wa maisha
Lazima ipande[emoji119]Kila mda pressure inapanda na kushuka, imebidi akake hospital kwanza aisee.
Ukikosea care unakuta nae anapotea mchana kweupeeeLazima ipande[emoji119]
Pigo hilo aisee..
Huku unaugulia vidonda, Halafu watoto hawapo[emoji3064]
Ngumu sana[emoji174]
My condolences for your loss National AnthemBila samahani mkuu, tumeanza maisha mapyaaa mkuu.. wanasema bwana alitoa na bwana alitwaa. Kwema lakini
Asante sana dada yangu. Tumeanza maisha mapyaMy condolences for your loss National Anthem
Mdogo wangu nakuomba ufanya namna basi tumfariji ndugu yetu kwa hili kwa kadri tutakavyowezeshwa tafadhaliLazima ipande[emoji119]
Pigo hilo aisee..
Huku unaugulia vidonda, Halafu watoto hawapo[emoji3064]
Ngumu sana[emoji174]
Sorry for the loss bruh 😞Asante sana dada yangu. Tumeanza maisha mapya
Nitoleee nuksii zakooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Coca yuko Central,, hakuna wa kushangaa, people will be like eeeeeeh[emoji2369],,, it was going to be soon tho[emoji28][emoji28]
Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] heka heka siwezi kuachaa jamanii.Punguza heka heka basi ,
Punguza heka heka ahaha