Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe yupo kwa mashangazi. Nilikuwa sijui 😳😳😳

Nimeona picha yake hapo juu ni kijana mdogo anda twenti faivu sasa mishangazi tena ya nini jamani?
Ndio ni kijana wa Miaka 19
Hasa anataka kuona picha za shangazi mi ,πŸ˜…
Maana kule kwenye kikao chao MMU wamekubaliana kuanzia miaka 35 kwenda juu ni mashangazi 🀣🀣
 
Somebody named Kalpana umepotea humu 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Au ni majukumu ya kazi
Kamtafute kwenye uzi wa mpira wa Yanga leo. Sidhani kama utamkosa huko akiponda Wananchi na kutetea Makolo 😁
 
Watruuuu woyoooooπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š! Kwa sauti ya Bantu Lady 🀸🀸🀸
 
Nasemajeeee nasemajeee warembo wa Yanga leo mselfike mpaka majogoo
Antonnia
Atoto
Saint Anne
Beeb
πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°
 
Nasemajeeee nasemajeee warembo wa Yanga leo mselfike mpaka majogoo
Antonnia
Atoto
Saint Anne
Beeb
πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°
Nasemaaaajeeeeee nasemaaaajeeeeee.. watulie dawa ieaingieeeee!
Sisi ndio Wenye nchiiii wajiandaeeeee🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…