Kwani lini niliwahi kukuamini?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] hivi picha zote zile nilizotuma bado hamjagundua tu kuwa mimi ni mnene
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Atoto zile picha yule pale airport ni mdogo wangu siyo mimi,, amini kwamba..
Kwahiyo ndio kusema aliekuandalia siku ile ndio kaandaa leo?
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Maji tu.Karibia sana. Sijui unatumia nini?
Atanidanganya tu, kaongooo.Muulize kweli
Mimi niko Mtwara huku
Hebu wekeni hii maneno vizuri pampula. Maana sikuamini amini.Nimechekaa mnooo....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kujimwambafai huku jeiefuu
[emoji3] [emoji3] [emoji30]Hahahahahaha
Natamani zingekuwa zahamishika hizi nikugawie tuuu dear
Hebu wekeni hii maneno vizuri pampula. Maana sikuamini amini.
Anajifanya haoni.Akukijibu Niite ...
Umeniambukiza huo ugonjwa wako ujue?
Sikuamini wewe hapo.Huniamini mimi au alieleta msosi asiejua ulipptokea?[emoji23][emoji23][emoji23] ukute kashindia mihogo maskini
Niko serious kabisa, hayo mambo mimi siyawezi kabisaaaa. Ni maji tu au mirinda nyeusi baaasi.
Niko singo auntie wangu jamaani....
Lol hauwezi kuwa serious. Anyway, hayo hapo.
MmmhhhPanya sakayo mkwe
Nikija moshi anaaza kukimbiakimbia kama kuku anaetaka kutaga..[emoji41]
Teh teh teeeeh!! Hata mimi naona.