Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii inatia moyo michepuko wote duniani kuwa wasikate tamaa IPO siku watafika tu 😂😂
 
Amina amina msukuma Nafurahi kusikia kila kitu kipo sawa mkuu! Yeah nimepungua sana yale mamboo unayopenda yotree yameisha[emoji3526][emoji23]!
Yale mambo hayaishagi BL hata ujikondeshe uwe kama Flaviana Matata. Yale mambo kama yapo yapo tu hata ufanyeje! Sana sana utaishia kuwa kiportable kamoja slim thick matata sana!

Halijaharibika neno BL...
 
Nimeona mahali michepuko inatiana moyo balaa....kwamba main aki-RIP nafasi kubwa ya kuchukua utawala inakuwepo. Dunia hii basi tu!
Inasikitisha sana , japo kwa Camilla ilikuwa ni destiny yeye kuja kuwa malkia since Diana walilazimisha tu ndoa ili kutunza royal blood line .

Niliona video mmoja Diana anasema it was three of us .. So painful .
Hao michepuko dah acha wajitie moyo tu .
 
Ni picha ndo anasubiri
Tuone hata kiatu Sisy .
Mama Mchungaji punguza kutesa watu maana kila mtu analalamika. Jitahidi uselfike ili maisha yaendelee...

Hata mimi naunga tela hapa kuchungulia chungulia kama utaachia kitu. Nitakuwa hapa kwa nusu saa ijayo.

Tuonee huruma mama Mchungaji [emoji1545][emoji16][emoji16]
 
Mzee wa Yutong jamani; how have you been? Si ndiyo nimerudi sasa
 
Back
Top Bottom