Selfika na JF: Snap it. Show it

So true
Nikifikiria kuwa vyote tunavyofanya duniani ni meaningless ni kama kufukuza upepo tu .

💯🤝​

Luka 12:16-21​

Neno: Bibilia Takatifu​

16 Kisha akawaambia mfano, “Shamba la tajiri mmoja lilizaa sana.

17 Akawaza moyoni mwake, ‘Nifanye nini? Maana sina mahali pa kuweka mavuno yangu.’

18 Kisha akasema, ‘Nitafanya hivi: nitabomoa maghala yangu na kujenga maghala makubwa zaidi na huko nitaweka mavuno yangu yote na vitu vyangu.

19 Na nitasema moyoni, ‘Hakika nina bahati! Ninayo mali ya kunitosha kwa miaka mingi. Sasa nitapumzika: nile, ninywe na kustarehe.’

20 Lakini Mungu akamwambia, ‘Mjinga wewe! Usiku huu huu utakufa! Sasa hivyo vitu ulivyojiwekea vitakuwa vya nani?’

21 Hivi ndivyo itakavyokuwa kwa mtu yeyote anayehangaika kujikusanyia utajiri duniani lakini si tajiri mbinguni kwa Mungu.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…