Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 May 8, 2023 #327,101 Mzee wa kupambania said: π€π€π€£ hebu kuwa serious haka ndio kaugali mwanamume unajisifu umekula Click to expand... Ahahaha acha zako unataka nimalize sufuria zima π
Mzee wa kupambania said: π€π€π€£ hebu kuwa serious haka ndio kaugali mwanamume unajisifu umekula Click to expand... Ahahaha acha zako unataka nimalize sufuria zima π
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 May 8, 2023 #327,102 Wigelekelo said: Sijui ndio ilikuwa Rangi ya taifa Kama si nyekundu bhas nyeusi Ila nilikuja kukoma huo mchezo Baada ya kuchezea kipondo kutoka Kwa ticha mmoja mnoko Click to expand... Na vile vigaguloo sijui ndio vilinda...
Wigelekelo said: Sijui ndio ilikuwa Rangi ya taifa Kama si nyekundu bhas nyeusi Ila nilikuja kukoma huo mchezo Baada ya kuchezea kipondo kutoka Kwa ticha mmoja mnoko Click to expand... Na vile vigaguloo sijui ndio vilinda...
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 May 8, 2023 #327,103 Mzee wa kupambania said: Si haba Click to expand... Ahahah
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 May 8, 2023 #327,104 sumbai said: Hapana mkuu. Mimi nilikuwa napenda furu na mabumunda...! Kuna zile wanyamwezi wanaziita ntalali... Click to expand... Kulikuwa na ngubalu Tamu balaa
sumbai said: Hapana mkuu. Mimi nilikuwa napenda furu na mabumunda...! Kuna zile wanyamwezi wanaziita ntalali... Click to expand... Kulikuwa na ngubalu Tamu balaa
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 May 8, 2023 #327,105 sumbai said: Nampa Maua yake Aaliya Where is Firdaus9 ?? Hujamiss tudimpos Click to expand... Firdaus9 lini unatetema Tena mkuu.
sumbai said: Nampa Maua yake Aaliya Where is Firdaus9 ?? Hujamiss tudimpos Click to expand... Firdaus9 lini unatetema Tena mkuu.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 May 8, 2023 #327,106 Wigelekelo said: Kulikuwa na ngubalu Tamu balaa Click to expand... Hizo ngubalu unaweza honga... Kabisaa ukapata kabinti
Wigelekelo said: Kulikuwa na ngubalu Tamu balaa Click to expand... Hizo ngubalu unaweza honga... Kabisaa ukapata kabinti
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 May 8, 2023 #327,107 sumbai said: Hapana mkuu. Mimi nilikuwa napenda furu na mabumunda...! Kuna zile wanyamwezi wanaziita ntalali... Click to expand... Gubiti zile kung'ang'ania kwenye mikono vipi ulikua hautumii.
sumbai said: Hapana mkuu. Mimi nilikuwa napenda furu na mabumunda...! Kuna zile wanyamwezi wanaziita ntalali... Click to expand... Gubiti zile kung'ang'ania kwenye mikono vipi ulikua hautumii.
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 May 8, 2023 #327,108 sumbai said: Na vile vigaguloo sijui ndio vilinda... Click to expand...
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 May 8, 2023 #327,109 Kapachino said: Gubiti zile kung'ang'ania kwenye mikono vipi ulikua hautumii. Click to expand... Hizo gubiti unampa figo76 Saafi kabisaa unamchukuaaa
Kapachino said: Gubiti zile kung'ang'ania kwenye mikono vipi ulikua hautumii. Click to expand... Hizo gubiti unampa figo76 Saafi kabisaa unamchukuaaa
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 May 8, 2023 #327,110 sumbai said: Hizo ngubalu unaweza honga... Kabisaa ukapata kabinti Click to expand... Machungani huko Vibinti tulivyokuwa Tunachunga navyo Nimefanya dhambi sana
sumbai said: Hizo ngubalu unaweza honga... Kabisaa ukapata kabinti Click to expand... Machungani huko Vibinti tulivyokuwa Tunachunga navyo Nimefanya dhambi sana
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 May 8, 2023 #327,111 sumbai said: Hizo gubiti unampa figo76 Saafi kabisaa unamchukuaaa Click to expand... Hii miaka ya majuzi ya kina Aaliyyah hawawezi elewa utamu wa hivi vitu. Maana miaka yao Ni mwendo wa makochori makachori tu.
sumbai said: Hizo gubiti unampa figo76 Saafi kabisaa unamchukuaaa Click to expand... Hii miaka ya majuzi ya kina Aaliyyah hawawezi elewa utamu wa hivi vitu. Maana miaka yao Ni mwendo wa makochori makachori tu.
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,770 Reaction score 54,858 May 8, 2023 #327,112 Johnnie Walker said: Ahahaha acha zako unataka nimalize sufuria zima π Click to expand... Kaza mtoto wa kiume π
Johnnie Walker said: Ahahaha acha zako unataka nimalize sufuria zima π Click to expand... Kaza mtoto wa kiume π
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 May 8, 2023 #327,113 Wigelekelo said: Machungani huko Vibinti tulivyokuwa Tunachunga navyo Nimefanya dhambi sana Click to expand... Kimasikharaaa zilikuwa nyingi.
Wigelekelo said: Machungani huko Vibinti tulivyokuwa Tunachunga navyo Nimefanya dhambi sana Click to expand... Kimasikharaaa zilikuwa nyingi.
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 May 8, 2023 #327,114 Wigelekelo said: Nina mpango huo Lakini kuna shule Jina likanitisha kidogo Pale Johannesburg S.A Inaitwa WeePee High school Hata kama sijui kingereza Nikasema hapa ni upinde Click to expand... Acha hizo bana ππ Kama uwezekano upo muache aende akachangamke huko.
Wigelekelo said: Nina mpango huo Lakini kuna shule Jina likanitisha kidogo Pale Johannesburg S.A Inaitwa WeePee High school Hata kama sijui kingereza Nikasema hapa ni upinde Click to expand... Acha hizo bana ππ Kama uwezekano upo muache aende akachangamke huko.
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 May 8, 2023 #327,115 Wigelekelo said: Machungani huko Vibinti tulivyokuwa Tunachunga navyo Nimefanya dhambi sana Click to expand... Astaafir' llah
Wigelekelo said: Machungani huko Vibinti tulivyokuwa Tunachunga navyo Nimefanya dhambi sana Click to expand... Astaafir' llah
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,999 Reaction score 48,521 May 8, 2023 #327,116 Kapachino said: Hii miaka ya majuzi ya kina Aaliyyah hawawezi elewa utamu wa hivi vitu. Maana miaka yao Ni mwendo wa makochori makachori tu. Click to expand... Kujifanya wazee π
Kapachino said: Hii miaka ya majuzi ya kina Aaliyyah hawawezi elewa utamu wa hivi vitu. Maana miaka yao Ni mwendo wa makochori makachori tu. Click to expand... Kujifanya wazee π
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 May 8, 2023 #327,117 Kapachino said: Hii miaka ya majuzi ya kina Aaliyyah hawawezi elewa utamu wa hivi vitu. Maana miaka yao Ni mwendo wa makochori makachori tu. Click to expand... Hao ni pizzaaa na burger sijui ndio vitu gani?? Plus makange
Kapachino said: Hii miaka ya majuzi ya kina Aaliyyah hawawezi elewa utamu wa hivi vitu. Maana miaka yao Ni mwendo wa makochori makachori tu. Click to expand... Hao ni pizzaaa na burger sijui ndio vitu gani?? Plus makange
Okrap JF-Expert Member Joined Jul 13, 2022 Posts 1,112 Reaction score 2,315 May 8, 2023 #327,118 sumbai said: Hizo gubiti unampa figo76 Saafi kabisaa unamchukuaaa Click to expand... Ahahaha niacheni nimechoka mie ujue
sumbai said: Hizo gubiti unampa figo76 Saafi kabisaa unamchukuaaa Click to expand... Ahahaha niacheni nimechoka mie ujue
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 May 8, 2023 #327,119 Grahams said: Upo Sahihi Mkuu Ingekuwa kilimo changu kimenikalia vizuri ningejitahidi mtoto mmoja aende International school of Tanganyika, ada milioni 39 kwa mwaka. Ofa hii nilipewa mimi kwakuwa ni Mkulima π€ͺ Click to expand... Ongeza bidii huko shambani basi!!
Grahams said: Upo Sahihi Mkuu Ingekuwa kilimo changu kimenikalia vizuri ningejitahidi mtoto mmoja aende International school of Tanganyika, ada milioni 39 kwa mwaka. Ofa hii nilipewa mimi kwakuwa ni Mkulima π€ͺ Click to expand... Ongeza bidii huko shambani basi!!
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 May 8, 2023 #327,120 Aaliyyah said: Kujifanya wazee π Click to expand... Haha; ngoja kwanza mabumunda ulikula? sumbai afu mabumunda ndio lilikuwa jina langu primary nilikuwa nayajaza mawili mawili mfukoni si poa
Aaliyyah said: Kujifanya wazee π Click to expand... Haha; ngoja kwanza mabumunda ulikula? sumbai afu mabumunda ndio lilikuwa jina langu primary nilikuwa nayajaza mawili mawili mfukoni si poa