Selfika na JF: Snap it. Show it

Na maswali ya siku hizi.

Kuna somo linaitwa social studies na jingine civic and moral Yani humo kuna maswali pasua kichwa.
Hahaha.....................ni balaa Mkuu

Kinachonisaidia ni kuwa I was good at Maths and English, vinginevyo ningepata tabu sana.

All in all, hizo homework zao zinatufanya wakati mwingine tupate nafasi ya ku interact na Watoto, manake kila siku tupo busy kutafuta hela tu πŸ™Œ
 
Ndio maana tukaletewa Google πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Hahaha......................kwa kweli πŸ™Œ

Ila kwasasa muamko kuwasomesha watoto shule nzuri umekuwa mkubwa, last time nimeenda Visiting day nakutana na Wamasai wanasomesha watoto wao hiyo shule.

Nikawaza kama speed ya kuitafuta Elimu imekuwa kubwa hivyo baada ya miaka 15 ijayo huenda rate ya Wajinga itapungua kwa asilimia kubwa kidogo
 
Sisi wenye allergy na kingereza tunateswa saana.
 
Na wamasai wengi ni vipanga

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha..............watafutie Mwl wa English awasaidie [emoji847]

Ila nimeona watoto wengi wanaosoma shule za English Medium wanafundishwa mambo mengi ambayo sisi Wakati tunasoma tulifundishwa Form I au II.
Yes.

Siku hizi Wana calculate paka density na pulley
Haya mambo ndio yaliyofanya tukakimbia fiziks.... Bado mtoto anakuuliza tena [emoji23][emoji23][emoji23]
 
If only mfumo wetu wa elimu ungeboreshwa.😡

Bado hatujafikia kuwa na wasomi wanaoweza kupambana na soko la nje kwa kiwango cha juu kwasababu watoto wetu bado hawafundishwi ili waelewe, wanakaririshwa ili wafanye vizuri kwenye mitihani.

Wale waliopo kwenye shule za International kweli ndio wenye advantage. Huku kwingine inabidi wazazi tuweke juhudi za nyongeza.πŸ₯΄
 
Kwenye international schools wale wanasoma content kidogo alafu na exposure ni kubwa to the world plus confidence

Ila ukiweka hawa watoto wetu english na WA international school wakwetu kwenye content wapo vzr saana.

Sijui tunakwama wapiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…