Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Dakika ziwe za mitandao yote lakini!! 😀😀😀Nakupa sms 5000, na Dk 50.
Unanipa GB 5
😂😂😂
Karanga unachota nyingi nyingi 😚
jikaze kaka tutakupoteza 😂Voda unatusahau sana Lenie hajapa
Jinadae boss na leo hakikisha huweki lile uaUkinitumia yangu mwenyewe na🤳🏽 mpaka kesho mida kama hii!!!!!!
Selfika kwanza kabla hujaenda huko pembeniJamani mrembo, hebu twende pembeni kwanza tukabonge
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Ni mitandao yote ndiyo.Dakika ziwe za mitandao yote lakini!! 😀😀😀
Sasa anza kula moja moja uone...kale kafuko kama 500 unakula kwa budget angalau siku 2.
🤗🤗🤗Ni mitandao yote ndiyo.
Karanga 1 natafunaje? Au natafuta kujing’ata 😂😂
🌸 Halitokuwa na nafasi kabisa leo!!!Jinadae boss na leo hakikisha huweki lile ua
Sema mtandao gani maana nimejipanga vilivyo
Mselfike na #tigo#
Leo ni bandika bandua
Ushindwee 😂😂😂Hapo guest ehh
Aliyechukua vocha ya tigo akifikisha Mwezi hajaachwa nipo pale
NAKAZIA USIWEKE UA ASEEE PLEASE AUNTIE 😁😁😁😁😁🌸 Halitokuwa na nafasi kabisa leo!!!
Airtel itapendeza!🤓
Basi usibanduke hapa🌸 Halitokuwa na nafasi kabisa leo!!!
Airtel itapendeza!🤓
Asante kwa kusisistiza chiefNAKAZIA USIWEKE UA ASEEE PLEASE AUNTIE 😁😁😁😁😁
Utalogwa shauri yakoUshindwee 😂😂😂View attachment 2612296
Atulie ale mema ya nchiMImi ni mwema kabisa apunguze wasiwasi😊
Eka voda ingine nikimbilie. Nishavua viatuUtalogwa shauri yako
Hamna kijana mwema kama huyo, mshikilie vema 🤗Jack Palladino njoo nikukumbatie. Kumbe uko mwema hivo
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
MuongoHamna kijana mwema kama huyo, mshikilie vema 🤗