Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Ukinitumia yangu mwenyewe na🤳🏽 mpaka kesho mida kama hii!!!!!!Mselfike na #tigo#
Leo ni bandika bandua
MImi ni mwema kabisa apunguze wasiwasi😊Utakua umenifananisha mwaya
Ila Jack Palladino ni kijana mwema mwaminifu na anakupenda wewe tu peke yako
✅✅😂Mselfike na #tigo#
Leo ni bandika bandua
Nigawie Gb hizo boss
Nakupa sms 5000, na Dk 50.
Jack Palladino njoo nikukumbatie. Kumbe uko mwema hivoUtakua umenifananisha mwaya
Ila Jack Palladino ni kijana mwema mwaminifu na anakupenda wewe tu peke yako
Voda unatusahau sana Lenie hajapaMselfike na #tigo#
Leo ni bandika bandua
Mwambie aselfikeVoda unatusahau sana Lenie hajapa
Nakuja chap unipe kumbato!😊Jack Palladino njoo nikukumbatie. Kumbe uko mwema hivo
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Kipenzi Valentina umepotea sana, nimekumiss beautiful 😘😘😘
hahahahaMafichoni, siri sirini huko... hiyo ni special kwake tu... hanaga baya mtu chake he's such a gentleman...
swadakta,my Bantu Lady ,weekend itakua nzuri sana😍😍😍😍😍😍😍 my pleasure mtu chake Nitakubless naked kabisa kuleeeee..... 😘
Mimi nimeselfika kwa niaba yake kaksMwambie aselfike
Hiyo dp nilijua james
Ndio niko hapa na raraa reree tunaipambania 😀Yes. Hatudai kitu.... Kabisaaaa
Tunadai SAA itolewe irudi ukutani....
Mzee wa kupambania Ile apps ya kuondoa imoji umeipata???
Mi nataka uniongezee....Nigawie Gb hizo boss
Dada yako anaitolea jasho hiyo hakuna cha bure dunia ya leo shauri yako 😅😀Ahahah sasa shemeji anakula kupitia mgongo wa dada yangu iyo imekaaje😂🤗
Jamani mrembo, hebu twende pembeni kwanza tukabonge