Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
KomaSema kweli jirani?
KomaSema kweli jirani?
Hao ni wapenzi watazamaji usitishikeNimeona wame like
Usalama wangu ni mdogo
sio kwa nia mbaya mkuu 😂 wanaume tunakula kwa jasho na mimi ni mwanahrakatiUwe na adabu
Dadaake ni msabato
Halafu ni anaimba kwaya
Kanisani
Kwani si unachukuliwaga kama kipanga shaap nashtukia ushanihamaNaanzaje kuchukuliwa[emoji4]
Wewe ni mtu wa mataifasio kwa nia mbaya mkuu [emoji23] wanaume tunakula kwa jasho na mimi ni mwanahrakati
mataifa kivipi....Wewe ni mtu wa mataifa
Baki huko huko
Na ni rembo haswaaa
Nani uliona amenichukia?🤔Kwani si unachukuliwaga kama kipanga shaap nashtukia ushanihama
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
umeona nini??😅mshamba_hachekwi ndo chimbo lako jipya hili
Embu tupia kwanza guu la bia nishushie huyu john mtembezi hapa 😋Usinifanyie hivyo jamani
Asante sanaWale wa #airtel#
Kazi kwenu
Ahahaah kwahiyo unataka kusemaje?Johnnie Walker ana pesa? Hahaaa
Hongera sana auntAsante sana
Ahahaha kwani unateseka 😂😂aha... itakua kama hii eti?? 😂 Johnnie Walker usitutishe na vi-iphone vyako😂
View attachment 2612142
Hata sijaweka itakuwa ishachukuliwa nimeshukuru Kwa niaba ya wajumbe wanaopita kimyakimya 😂😂😂Hongera sana aunt
Uselfike sasa
Thimu yangu ilikuwa chaji thatha ndio imejaaSasa mbona hupokei simu?