Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
nafurahi kama umezipata,sasa walau week end itakua nzuriHello mtu chake salamu nimezipata. Habari za weekend...
nafurahi kama umezipata,sasa walau week end itakua nzuriHello mtu chake salamu nimezipata. Habari za weekend...
Fanya hivo deaaa!Ooh Sina mpya dear ngoja nikuchekie
Acha tamaaNa ni rembo haswaaa
Tayar kipenzFanya hivo deaaa!
Iiiiiiiiigggggggweeeeeehhhh 😍😍😘!
Nimeona mamy Umependeza mamaa mwenye lipsssss zake mujiniii!!💋Tayar kipenz
😍😍😍Asante dear nikitulia badae unibless mambo ya mei mosiIiiiiiiiigggggggweeeeeehhhh 😍😍😘!
Asante kipenzeee Umependezaajee!!!
Hakii mwanamke staraah😘😘😘!
Wabheja sana hakika Jioni yangu inaenda kuwa barreeeeeeeeddaaa kabesaaa!!
Nilijitoa out 😂😂nikatupia sitaki mchezo 😂😂😂Nimeona mamy Umependeza mamaa mwenye lipsssss zake mujiniii!!💋
eehNa ni rembo haswaaa
🤣🤣😂😂!Likizo Iko around wapi sasa@Antonnia
Ooh sawa hongera dear utanipitia Njombe twende Mbeya😍🤣🤣😂😂!
Awamu hii kam kauwaaa tutakutana Dom/ Singinda tusalimiane kipenziii!!
Hii likizo nina route kama zotreee!!
Dar Moro then Mbeya au ntaanza kinyume cha hapo!
Kwakweli we live once raha jipe mwenyewe!!😋😋😋
Lol hivi Juzi sikukutumia ehh! Usijareee kabesaaa wewe treinaaahhhh!!! Sema kinginee😄😍😍😍Asante dear nikitulia badae unibless mambo ya mei mosi
Nipunguzie mb
😂😂Nilipungua sana kwaaajili ya ramadhani sijanenepa Bado lkn naona nitapasuka siku si nying maana nakula balaa nangoja likizo nokafakamie ice cream ndo ugonjwa wangu😂😂Kwakweli we live once raha jipe mwenyewe!!😋😋😋
Umefika kilo ngapi Saivi sio kwa masontojo hayooo😋😋😋😄
njoo tuselfike mtoto mzuri PalinaAah hii njia way back huko kidogo i lock sim card yangu 😂😂😂
mshamba_hachekwi changamkia fursq kipenzi 😂😂😂
Nilitoka online kidogo sikuonaLol hivi Juzi sikukutumia ehh! Usijareee kabesaaa wewe treinaaahhhh!!! Sema kinginee😄