mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,935
kwahiyo wenye pesa na maiphone kina Johnnie Walker ndo unaona wa maana😫unaniumiza sana.....Stage ya ubinti nilishavuka kitambo sana kijana
kwahiyo wenye pesa na maiphone kina Johnnie Walker ndo unaona wa maana😫unaniumiza sana.....Stage ya ubinti nilishavuka kitambo sana kijana
OvyooAsante jirani
Ujue nimekumiss balaa
Mimi nikikuona moyo una unaruka ruka
"Tubwi....."
"Tubwii...."
"Tubwi...."
Johnnie Walker ana pesa? Hahaaakwahiyo wenye pesa na maiphone kina Johnnie Walker ndo unaona wa maana😫unaniumiza sana.....
halafu tukijinyonga mnatuona wajinga 😂2/10.
Kaza 🥾
nimeona ana ki-iphone nimeshtuka kusema kweli😂Johnnie Walker ana pesa? Hahaaa
Babe Valentina tumeachana?🤔
Usishtukenimeona ana ki-iphone nimeshtuka kusema kweli😂
BarikiwaLeo sabato takatifu
Inaisha saa 12 jioni
Ile picha kwanza sio yake, sijui kaiiba wapi😅nimeona ana ki-iphone nimeshtuka kusema kweli😂
Kumbe upo babeBabe Valentina tumeachana?![]()

aha... itakua kama hii eti?? 😂 Johnnie Walker usitutishe na vi-iphone vyako😂Usishtuke
Kwanza alikitop up.. afu ni cha Kikuu 😂😂😂
huku sasa ni kumuonea dogo 😂Ile picha kwanza sio yake, sijui kaiiba wapi😅
Uwe na adabu
Dogo adabu hana kwa wakubwa zakeUwe na adabu
Dadaake ni msabato
Halafu ni anaimba kwaya
Kanisani
Nimeona wame like
Naanzaje kuchukuliwa😊