Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Njoo uoneEbu tuone?
Njoo uoneEbu tuone?
Uko wapi?Njoo uone
Nitaweka siku ya kumbukumbu yangu ya kuzaliwa hapa 😂😂Weka pic full kijana
😂😂 UpojeLimekua kua. Kumbe halijakuwa 😂😂😂
NakaziaWeka pic full kijana
Niko mitaa ya Sakina now, ukichelewa hunikutiUko wapi?
Kijenge mwanama??
🤣🤣🤣najua unajuta sana 😂 nakupa last chance....
Mimi mzee lakn ni kitunguu chozi lazm likutoke 😄Wastaafu wote peponi. Vijana kina Wakupambania hao wana mambo mengi,, ni vitunguu.
Nani anataka daily atoke machozi 😂😂
Haya mstaafu wetu wa selfika. Jiselfie tukuone 🥰
Ahahaha ngoja nipige picha na kombatiNakazia
Mna jehanamu yenu 😂😂Mimi mzee lakn ni kitunguu chozi lazm likutoke 😄
nakupa muda ujifikirie halafu nitakurejelea 😂🤣🤣🤣
Jinga sana wewe
Nasubiri hapaAhahaha ngoja nipige picha na kombati
Lenie leo wpi miguu inawasha sana sion sehemu yakwendaNasubiri hapa
Soma kwanza dogo, sisi mashangazi tutakupoteza ujuenakupa muda ujifikirie halafu nitakurejelea 😂
Kama ukiiwekea gel inajilaza mpk mbele nakupeleka manicure sahii sahii 😂😂😂😂 Upoje
Una gari?Lenie leo wpi miguu inawasha sana sion sehemu yakwenda
Leo usiku unipigie msukuma, memiss sauti yakoKuna moja hiyo
Ina tako kama la khumbu
Inapiga jive za hatari
Usiwaze
maisha mafupi bana 😂 siachi mbachao....Soma kwanza dogo, sisi mashangazi tutakupoteza ujue
Mwambie vizuri. Mashangazi mnakamua mpk uloto 😂😂😂Soma kwanza dogo, sisi mashangazi tutakupoteza ujue