Sio yakoooo!! Weka nyingine isio na hayo maneno hata ukate kichwa tu !Eeeh aseee iweje sasa aseee,,, kipi kinakufanya usiamini π€ na mbwembwe ni hiyo emoji 1 tu ya kichwani,,, we unataka iweje sasa
Utaniwekea badae auntie βοΈEeeh aseee iweje sasa aseee,,, kipi kinakufanya usiamini π€ na mbwembwe ni hiyo emoji 1 tu ya kichwani,,, we unataka iweje sasa
Safi mkuuu. Na Urudi na pisi moyaaa ya kisauziiiii
Utaniwekea badae auntie acha nikajenge taifa kwanza!!
Muwe na asubuhi njema wapendwa!!
Hahahaha karibu uuze mikate πππNdi nimeajiriwa na Binadamu Mtakatifu
Good morning Aaliyyah....Hujambo
Ok sawaSio yakoooo!! Weka nyingine isio na hayo maneno hata ukate kichwa tu !
Katika dunia ya leo wako wapi hao uniunganishe nao?Wapo wanaoweza ndio , kusaidiana muhimu .
Usipokuwa bad boy utaishia kuliwa tu hela zako. Uzuri wa sisi mkienda mkifarijiwa huko na nice guys badae mnatukumbuka shoo zinaendeleaWewe ni bad boy nini ? Mie nina tabia ya upole lazima niwatete nice guys kwa kweli . Wanatufariji imagine breakup inavyouma mtu anakujali na kukupa maneno ya faraja
Wapo sema ndo ukutane nao sasaKatika dunia ya leo wako wapi hao uniunganishe nao?
Unarudije ulipoumizwa , mie sirudi hata kwa bure.Usipokuwa bad boy utaishia kuliwa tu hela zako. Uzuri wa sisi mkienda mkifarijiwa huko na nice guys badae mnatukumbuka shoo zinaendelea
Sasa kama mnalijua hilo kwanini mnalalamika kwamba hakuna wanawake wa kuoaila mi naona haiwezi tokea eti mahusiano yote duniani yawe stable, lazima vurugu zitakuwepo tu..... hamna namna ya kulimaliza hili tatizo kabisa, mwisho wa siku sisi ni kama wanyama wengine....
Mara nyingi lengo huwa siyo mwanamke kufanyia cha maana hela anazohongwa, suala ni mwanaume naye atoe ili aumie kusudi hata akianza kumtukana huyo mwanamke, kwamba oo sijui malaya tu hana jipya basi moyoni lazima aumie, kwamba hakula burebure bali kuna kitu alitoa, na ofcourse wengi mnaumia ndio maana mnalalamika kila sikuKuhonga ili kumkula ni kawaida siku hizi. Labda ampate mwenye mahela na asiwe mbahiri. Wanaume siku hizi wabahiri sana unaweza ukashangaa mpaka mmeachana usione chochote ulichofanya kwa hela ambazo umehongwa
Nikopoa sana mpendwaGood morning Aaliyyah....
ππππMara nyingi lengo huwa siyo mwanamke kufanyia cha maana hela anazohongwa, suala ni mwanaume naye atoe ili aumie kusudi hata akianza kumtukana huyo mwanamke, kwamba oo sijui malaya tu hana jipya basi moyoni lazima aumie, kwamba hakula burebure bali kuna kitu alitoa, na ofcourse wengi mnaumia ndio maana mnalalamika kila siku
πππWapo jela huko ππKatika dunia ya leo wako wapi hao uniunganishe nao?
Jadda hamna mtu amewahi kukuambia kwamba wewe ni pasua kichwa πSasa kama mnalijua hilo kwanini mnalalamika kwamba hakuna wanawake wa kuoa
sijawahi ona ubishi wa namna yako...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]