Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Kama hujazoea hukawiii kwenda kusaka msosi mtaani usiku mnene!!!!
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Kama hujazoea hukawiii kwenda kusaka msosi mtaani usiku mnene!!!!
Hakika, mwenyewe kuna siku iliwahi nitokea ingawa ilikuwa hotelini.

Bahati nzuri ile Hotel wanaweka vifaa vya kutengeneza Chai pamoja na heater. Vinginevyo hali ingekuwa mbaya zaidi.

Kutokana na maumbile yetu, nahisi Wanaume hatuwezi kulala bila kula ๐Ÿ™ˆ
 
Alafu ukiwa mwenyewe ndio inazidi!!!
Siku nyingine ukijaribu uwe na matunda karibu.
 
Utajuaje kwanza badilisha avatar weka ya mkaka mzurii kisha usijiite babu utapata mchumba nimekumegea siri mkuu๐Ÿ˜
Hahahaha..........thanks for the tips Mjukuu

Ningekuwa Kijana haki ya nani ningepambania kombe kama wanavyosema Vijana.

Bahati mbaya Mvi zangu hazisikii Piko. Yaani nimepaka Piko hadi ile anayopaka Donald Trump lakini imegoma Mkuu ๐Ÿคช๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ