Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,221
- 183,074
Nakufananisha na PB etiโบ๏ธDuuuh noma sana mkuuu ๐๐
Nakufananisha na PB etiโบ๏ธDuuuh noma sana mkuuu ๐๐
Asante sana dogo, Kheri ya Mei Mosi.Good morning wana selfika wote ๐๐๐๐
Aunt Antonnia za asubuhi ๐๐
Aunt Bantu Lady za asubuhi huko ๐๐
Mue na mei mosi njema na wengine wote View attachment 2605742
Sawasawa ๐๐๐๐ i keep my wordAuntie hasahauugi kirahisi ujue !! Haya nasubiria hio siku โบ๏ธ
Asante aunty, nani dogo tena sema kaka bana,, sio dogo mkuu ๐๐ ๐Asante sana dogo, Kheri ya Mei Mosi.
Hapanaa auntie Mbantu hata hajanijaza kitruuuu mbonaa ๐!! Kaa hapoo nije kukubles leo nina mudii ya kutupia ๐คณkweriii๐Alafu ww Bantu Lady sijui umemjaza nn aunty Antonnia ww Bantu Lady mbaya ww we ngoja tu dawa yako imo jikoni ๐๐๐๐๐๐๐๐
PB ndo nani ๐ค๐คNakufananisha na PB etiโบ๏ธ
Tupia aunty nimo nimo โ๐Hapanaa auntie Mbantu hata hajanijaza kitruuuu mbonaa ๐!! Kaa hapoo nije kukubles leo nina mudii ya kutupia ๐คณkweriii๐
Anafurahijee kutuchora walai โบ๏ธ!Asante sana dogo, Kheri ya Mei Mosi.
Mfyuuu..ona Unavopenda kuona za watu zako sijui unaficha nini๐๐!Tupia aunty nimo nimo โ๐
๐ ๐ ๐ ๐ Akianani ๐๐๐ duuuhAnafurahijee kutuchora walai โบ๏ธ!
Jamani unanionea bure, sijamwambia chochote Tonnia ๐๐๐๐๐ kwani kakufananisha na nani tena?Alafu ww Bantu Lady sijui umemjaza nn aunty Antonnia ww Bantu Lady mbaya ww we ngoja tu dawa yako imo jikoni ๐๐๐๐๐๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ We jichetue tyuuuPB ndo nani ๐ค๐ค
Daaaah kimeumana ๐๐๐๐๐๐Jamani unanionea bure, sijamwambia chochote Tonnia ๐๐๐๐๐ kwani kakufananisha na nani tena?
Wewe bado dogo bana. Kaka subiri ukue kue kidogo.
Akhsaaannteeeeehhh ๐๐๐๐๐! Uwiii Bantu Lady Njoo uone misuliiiiiii hukuuu auweeeeehhh!๐Naanza kiungo kimoja kimoja kwanza mpaka mwisho ntamaliza zote ๐
View attachment 2605778
Ewaaa sasa hivi sijakosa mtooto shepu ya Kinyarwadaaaaa ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Santoo sana Auntie.. Nimeona unaenda na promise kabesaaa umeanza na mkonooo aseee nimeona misulii sio poa kabisaa auntie! Bila shaka yajayo yanafurahishaaa๐๐๐๐คญ!Daaah ๐๐๐๐ค๐ค๐ค aseee
kumbe we ni mzuri hivyo daaaaah ๐๐๐น aseee watu wanafaidi bwana weeeeeeeee Antonnia asante kwa kutubless
Sitokuangusha kwenye ile promise yetu
Eendiwoooooooo ndiwooo santo sana everything for Yanga kipenzeee wamejua kunikoshaaa!!๐๐๐๐!!Ewaaa sasa hivi sijakosa mtooto shepu ya Kinyarwadaaaaa ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Ushindi wa Yanga na watoto wa Jangwani๐ฐ๐ฐ๐ฐ๐ฐ๐ฐ๐ฐ๐ฐ๐ฐ๐ฐ๐ฐ๐ฐ๐ฐ
Kabisa asante kwa kutubless asubuhii, kila kitu kitaenda sawa sasa mtoto mzuri, mtoto shepu. Mtoto namba 1,2,3 zote zako. Utake nini tena ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅEendiwoooooooo ndiwooo santo sana everything for Yanga kipenzeee wamejua kunikoshaaa!!๐๐๐๐!!