Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
NipoSikupati mkuu
Nilikuwa naikata Zambezi
Ndio naitafuta Lusaka
NipoSikupati mkuu
Safiii kabisaaa swafari njema
Nitamletea jezi ya manutd, itampendeza zaidi!😃
Ataelewa sasa??? 😄😄Nitamletea jezi ya manutd, itampendeza zaidi!😃
Nitamuelewesha tu!😅Ataelewa sasa??? 😄😄
Ushindi tu!😊😄😄😄
Nasubiria matokeo!!😁
Ukishinda namuongezea ya pili 🙂Ushindi tu!😊
Unamuongezea au nitamuongezea ya pili?away kitUkishinda namuongezea ya pili 🙂
1-0 🫶Ukishinda namuongezea ya pili 🙂
kila la heri watani mshinde tu otherwise tuwachekeTumemaliza manutd..mida wa wananchi sasa
😀😀😀kila la heri watani mshinde tu otherwise tuwacheke
kila la heri watani mshinde tu otherwise tuwacheke
Sasa wee unaogopaa nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kunamtu nilikuwa naongea sikujua km shabiki wa Yanga [emoji3][emoji3][emoji3]nikasema wafungwe wee nimekatwa jicho nikawaombea washinde tu bila kupenda [emoji23][emoji23]
Hapana lkn mtu mzima nikaona nitakosa B😭baraka za wazee😂😂😂Sasa wee unaogopaa nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo anaekuweka mjini?? Uwiiiiih
Hahaha ungemtania , mbona wametucheka sana sieKunamtu nilikuwa naongea sikujua km shabiki wa Yanga
Akipata boom atakuja mumuoneshe hayo maeneo ya Bata 🤗Anakuja na hela zake 😃😃