Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,333
Kumingle ni muhimu Mjukuu, wishing the best 🤗Nitajitahidi kumingle ,hata hvyo kutafuta mtu si kipaumbele changu .
Kumingle ni muhimu Mjukuu, wishing the best 🤗Nitajitahidi kumingle ,hata hvyo kutafuta mtu si kipaumbele changu .
HalafuSasa huyu Mwanafunzi cocastic ana hela gani zaidi ya Boom?
Mfanyie wepesi siku moja moja Ofa [emoji2957]
Acha roho mbaya kwa watoto wakike 🤪Halafu
Yeye ata ofa Nini[emoji848][emoji1787]
Roho mbaya wapiAcha roho mbaya kwa watoto wakike [emoji2957]
Utampa Home & Away, mi ntamuongezea mojawapo.🤓Unamuongezea au nitamuongezea ya pili?away kit
Asante nimeanza babu , nipo naangalia mpira hapaKumingle ni muhimu Mjukuu, wishing the best
Hapa sasa mtaelewana!!!!Tumemaliza manutd..mida wa wananchi sasa💛💚
View attachment 2605175
Away zipo mbili!😊Utampa Home & Away, mi ntamuongezea mojawapo.🤓
Ana jezi?Hapa sasa mtaelewana!!!!
Kila siku ananiomba 🙈🙈Ana jezi?
Nitamletea zote😃Kila siku ananiomba 🙈🙈
Mxxiiiiieeeew baraka za wazee kwiooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana lkn mtu mzima nikaona nitakosa B[emoji24]baraka za wazee[emoji23][emoji23][emoji23]
Afu mbna mie sihitaji hata huko kuzurura mnakozungumzia, sikuja Dar kuzurura wala kushangaa hivyo mnavyo vishadadia, nimejia jambo linginee kabisaa.Sasa huyu Mwanafunzi cocastic ana hela gani zaidi ya Boom?
Mfanyie wepesi siku moja moja Ofa [emoji2957]
Kwanza nani anataka huko kuzururaaa??Halafu
Yeye ata ofa Nini[emoji848][emoji1787]