Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,904
Mara paah Yanga kakojolewa vitatu.π€π€£π€£ Nitafurahi saaanaKumbe watu wameselfika na imenipita hapahapa? Leo kwa Mkapa hatoki Mnigeria πππππ
Sheendwaah.... ! Yanga ndio itamkojoza mnaijaa wee tulia uoneee!Mara paah Yanga kakojolewa vitatu.π€π€£π€£ Nitafurahi saaana
Irudiweee irudiweee shoss![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah utawasimulia baadae.
Hahaaa jipe moyo leo mnakalishwa na watoto wa kinaijeria mapema tuSheendwaah.... ! Yanga ndio itamkojoza mnaijaa wee tulia uoneee!
Wee tulia uoneee tunavowavisha nepi Hao wanaijaaa bado sanaa!Hahaaa jipe moyo leo mnakalishwa na watoto wa kinaijeria mapema tu
Jiandae kushangilia mpira huko.Irudiweee irudiweee shoss!
Nasemaje leo vyura wa jangwani mnayaaga mashindanoWee tulia uoneee tunavowavisha nepi Hao wanaijaaa bado sanaa!
Niko rediiii Kitrambooo sana dua Zangu kwa wananchiiiπΊJiandae kushangilia mpira huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sheeeeendwaaaaaaahh!! Leo ndio leoo kwa mkapa tunaua mtuu !Nasemaje leo vyura wa jangwani mnayaaga mashindano
Yaani alitupia kapicha flani hivi hatari sanaaaaLol nimepitwa jamani kumbe coca alitupia??? Lol mwambie badae arudiee jamaneee!;
Ni suala la muda leo wanaijeria wanawatoa machozi kwa mkapa hamtaamini nawaambia.Sheeeeendwaaaaaaahh!! Leo ndio leoo jwa mkapa tunaua mtuu !
Wachaaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niko rediiii Kitrambooo sana dua Zangu kwa wananchiii[emoji1739]
Una roho ngumu sanaGGMU!π«Ά
View attachment 2605067
Zaidi ya gunners?πUna roho ngumu sana
Nyie wote dugu mojaa tuu.. kama mpo ward moja tu na Dr wenu ni mmojaZaidi ya gunners?π
Dah.. nimepata mzuka wa kwenda mkojoza mnyarwabdaa wanguβ¦ byeeeπSheendwaah.... ! Yanga ndio itamkojoza mnaijaa wee tulia uoneee!
Naona leo wanampa Fulham kazi iliyowashinda kumfunga mancity!πNyie wote dugu mojaa tuu.. kama mpo ward moja tu na Dr wenu ni mmoja
Mmetangulia kamojaaa maneno yanakuwa mengi sanaa ππNaona leo wanampa Fulham kazi iliyowashinda kumfunga mancity!π