We wale kataa Ndoa wagonjwa akili...
Ndoa ni amri za Mungu Kwa siye wenye dini
Wale wapuuzi
Waoaji wapo Tena husband material kabisaa
Hebu pitia pages za mc's hukooo dogo
Achana na wale majobless "kula kacheze "
Maisha Yao magumu kuliko Ndoa zenyewe
Waoaji wapo na waolewaji wapo pia