sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Hivi wataalaam wa IT wakina Wigelekelo National Anthem hamnaga maujanja ya apps za kuondoa emoj...???Kutwist nywele zangu zenyew?au km dread lockView attachment 2604903
Hivi wataalaam wa IT wakina Wigelekelo National Anthem hamnaga maujanja ya apps za kuondoa emoj...???Kutwist nywele zangu zenyew?au km dread lockView attachment 2604903
Mm huyo auntHuyu nani shangaziiii.??
Ok sawa ila Ile nikitaka full ni beigani?Weka mega chukua super
Ipo ya kulipia mkuu...Hivi wataalaam wa IT wakina Wigelekelo National Anthem hamnaga maujanja ya apps za kuondoa emoj...???
Kuna zile wanauza piece tu inakua na shampoo 6000 ,full kuna ya kupaka mara moja 9000 na ya mara mbili 13000Ok sawa ila Ile nikitaka full ni beigani?
Kuna mtu alinifundisha ukitaka kizuia, ukishaweka emoj, afu screenshot, haitolekii kamweee,Hivi wataalaam wa IT wakina Wigelekelo National Anthem hamnaga maujanja ya apps za kuondoa emoj...???







Mpooooo mlongo juzi nilikua naangalia picha zako nkakumis ghaflaKuna mtu alinifundisha ukitaka kizuia, ukishaweka emoj, afu screenshot, haitolekii kamweee,![]()
Nipooo mlongooo,Mpooooo mlongo juzi nilikua naangalia picha zako nkakumis ghafla
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app





Ili ugundundue nini we mzee wa hall 5.Hivi wataalaam wa IT wakina Wigelekelo National Anthem hamnaga maujanja ya apps za kuondoa emoj...???
Haya Kaa hapa hapaNipooo mlongooo,
Hebuu selfikaaa hapaaa nikuoneee.
Nipoo hapaaa.
Hamna mkuu katika mwendelezo wa kufanya ukaguzi WA ndani WA walipa kodi...Ili ugundundue nini we mzee wa hall 5.
Engineer wewe unaendelaea kuwapa mbinu za kivita zaidi....Kuna mtu alinifundisha ukitaka kizuia, ukishaweka emoj, afu screenshot, haitolekii kamweee,![]()
Mbna umetoa harakaa??? Sijaonaa