Kwanza unajua nimenuniwa na sumbai haongei namimi, hata nikimwita sehemu haitiki analike tu. Au Kapachino kamwambia kitu? Niulizie kwa Mmasai wangu, shida nini?
Nipooo mnyamaaa ..Kwakweli Bantu Lady afanye wepesi ayaweke sawa sumbai arudi tumemmis sana eti!!!!
leoo saa Moja kama kauwaaa kwa mkapa tunaua mtuu!!!