Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Teh teh[emoji16][emoji16]…… Nipo hapahapa,. Mamtoni connection[emoji3]
Connection mbna unayoo, kutimba hadi mjengoni mchezooo,?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Naona majukumu yalikubanaa sanaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaa, kuna shost alikua ana sponsor wake ana kitambii aseeh, nilikua namuuliza sasa mnawekana style gan? Eti anasema mzee analala afu yeye shost anajipimia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikasema dadekii sasa hii nn si uchuro huu, anasema akilala anakoroma balaa km simba wa Yuda, nkamuambia na wee delila kazi unayoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwenye kitambi mie asinisogolee kabisaa ntamtufua ngumi ya tumbo buree. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Hivo ndo vitu vyangu sio Hawa vijana kuchoshana tu ukitoka hapo unaenda kulala kwenye feni na UTI juu vitambi ndo habar ya mjini

Najipumzikia tu kimoja km Cha casablanca 😂😂😂
 
Happy weekend to y'all😍
 
Attachments

  • IMG_20230429_130121.jpg
    IMG_20230429_130121.jpg
    95.8 KB · Views: 9
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaa, kuna shost alikua ana sponsor wake ana kitambii aseeh, nilikua namuuliza sasa mnawekana style gan? Eti anasema mzee analala afu yeye shost anajipimia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikasema dadekii sasa hii nn si uchuro huu, anasema akilala anakoroma balaa km simba wa Yuda, nkamuambia na wee delila kazi unayoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwenye kitambi mie asinisogolee kabisaa ntamtufua ngumi ya tumbo buree. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivo ndo vitu vyangu sio Hawa vijana kuchoshana tu ukitoka hapo unaenda kulala kwenye feni na UTI juu vitambi ndo habar ya mjini

Najipumzikia tu kimoja km Cha casablanca [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi umechachuks vibayaa wee siku hizi, eti km cha Casablanca lol.
 
Back
Top Bottom