Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,310
hahaha wakunificha zaidi yako hayupo ati! Mvua za dar ziliondoka na simu yangu.
Bantu Lady anaendaleaje pia? Mwambie chino na miss Sana. Na nina ujumbe wake toka kwa drogba wa bongo
Nafurahi kusikia hivoo mnywani Bantu Lady ako vyedi sana mnyamaa nae anakuulizia kila leooo hakuoni humuu!!! Hakika leo akikuona atafurahi sana!! Hauna ka selfii hapo uniblessipo mnywanii !
