[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku nilivaa sketi yangu Fulani
Si fupi sana , ila nikinenepa huwa inapanda sana juu
Sasa bana, nilivaa nikaona imebana sana hadi inapanda juu,,
Nikapotezea nikatoka.
Aisee[emoji1787][emoji1787]nilitembea Kwa shida ile siku.. Safari niliona mbali wakati ni Mbezi tu stand hapo.
Kila nikipiga hatua inapanda juu
Na upepo unapiga huku nyuma mpasuo inazidi kupanda.
Uwanja uko tayar.
Halafu njiani ajabu nimeambiwa nimependeza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weee[emoji23]unatembeaa zako bila habari , acha ipande tu itajijua Saint Anne
Atakua ni yeye tu huyo na Yolly YollyCarrasco nimeona couple huku inabebana nikasema isije kuwa nyie
Wanabebana asikanyage maji machafu .Atakua ni yeye tu huyo na Yolly Yolly
Hahaha hujazoea mwaya, skinny jeans sasa unavaa ?Weee[emoji23]
Niliishusha
Baadaye nikaacha
Ila nikaongeza speed
MimiHalafu njiani ajabu nimeambiwa nimependeza
Wengine wananiambia rangi yangu nzuri sana
Hadi mida hiiAtakua ni yeye tu huyo na Yolly Yolly
Usiku huuWanabebana asikanyage maji machafu .
Worshiper hawavaagiHahaha hujazoea mwaya, skinny jeans sasa unavaa ?
Ooh okay , wameshika dini haswaWorshiper hawavaagi
Una rangi nzuri dear, [emoji8][emoji8][emoji8]Halafu njiani ajabu nimeambiwa nimependeza
Wengine wananiambia rangi yangu nzuri sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu mwshoe wataachanaa, ila mapenzi bhana.Wanabebana asikanyage maji machafu .
Hatari tupu , mapenzi ujinga sana .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu mwshoe wataachanaa, ila mapenzi bhana.
Kwa kweliiiii.Hatari tupu , mapenzi ujinga sana .